Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Vikosi vamizi vya US vyashambuliwa kwa maroketi mashariki ya Syria

    Vikosi vamizi vya US vyashambuliwa kwa maroketi mashariki ya Syria

    Mar 25, 2023 03:38

    Kambi mbili haramu za wanajeshi vamizi wa Marekani zimeshambuliwa kwa makumi ya maroketi huko mashariki mwa Syria.

  • Mama: Askari wa Marekani waliomuua mwanangu ni wanyama

    Mama: Askari wa Marekani waliomuua mwanangu ni wanyama

    Mar 23, 2023 08:51

    Mama mzazi wa Ivor Otieno, kijana Mkenya aliyeuawa hivi karibuni na polisi ya Marekani akiwa korokoroni amewataja askari polisi waliofanya ukatili huo kuwa wanyama.

  • Camarillo: Vijana hawana hamu ya kulitumikia jeshi

    Camarillo: Vijana hawana hamu ya kulitumikia jeshi

    Mar 23, 2023 03:55

    Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ameeleza kuwa, ni vijana wachache sana nchini humo ambao wana hamu ya kufanya kazi jeshini.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine

    Mar 22, 2023 04:07

    Tangu kuanza vita vya Ukraine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza ulazima wa Russia na Ukraine kutatua mgogoro huo kwa njia za kisiasa na mazungumzo. Bila shaka, Tehran pia imechukua hatua kadhaa za kivitendo katika uwanja huo.

  • Russia yafungua kesi ya jinai dhidi ya mwendesha mashtaka mkuu wa ICC, majaji waliotoa hati ya kukamatwa Putin

    Russia yafungua kesi ya jinai dhidi ya mwendesha mashtaka mkuu wa ICC, majaji waliotoa hati ya kukamatwa Putin

    Mar 21, 2023 07:02

    Russia imefungua kesi ya jinai dhidi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu na majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kujibu waranti ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin kwa tuhuma za uhalifu wa kivita.

  • Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja

    Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja

    Mar 20, 2023 22:56

    Miaka 20 iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, Rais wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwa hatua ya upande mmoja na kinyume cha sheria kwa ushirikiano wa Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair. Majeshi ya Marekani na Uingereza yalianzisha vita vikubwa dhidi ya Iraq na kupelekea kuanguka utawala wa Baath ulioongozwa na dikteta Saddam.

  • Ombi la OIC la kutaka Palestina ikubaliwe kuwa mwanachama kamili na rasmi wa Umoja wa Mataifa

    Ombi la OIC la kutaka Palestina ikubaliwe kuwa mwanachama kamili na rasmi wa Umoja wa Mataifa

    Mar 20, 2023 06:59

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetaka yatolewe mashinikizo ili kuhakikisha Palestina inakubaliwa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa.

  • Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita

    Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita

    Mar 19, 2023 04:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.

  • Kufilisika benki za Marekani na hofu ya madhara yake

    Kufilisika benki za Marekani na hofu ya madhara yake

    Mar 18, 2023 00:35

    Mtikisiko uliosababishwa na kufilisika kwa Benki ya Silicon Valley (SVB) unaendelea kushuhudiwa katika jamii ya Marekani. Wataalamu wengi pia wana wasiwasi kuhusu mustakbali wa uwekezaji na hali ya uchumi katika nchi hiyo na uwezekano wa hali hiyo kuhamia katika maeneo mengine, ikiwa ni pamoja na Ulaya.

  • Russia yasema itajibu chokochoko zozote tarajiwa za Marekani

    Russia yasema itajibu chokochoko zozote tarajiwa za Marekani

    Mar 16, 2023 06:23

    Kufuatia makabiliano ya kijeshi kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi Jumanne ya juzi, Wizara ya Ulinzi ya Russia imesisitiza kuwa, taifa hilo litatoa majibu muafaka kwa uchokozi wowote tarajiwa wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS