Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Makubaliano ya China ya Russia ya kukabiliana na mielekeo ya Marekani ya kutaka kuziburuza nchi zingine duniani

    Makubaliano ya China ya Russia ya kukabiliana na mielekeo ya Marekani ya kutaka kuziburuza nchi zingine duniani

    Feb 24, 2023 23:11

    Huku Marekani ikiendelea kung'ang'ania sera yake ya kujifanyia mambo kivyake na kutaka kuziburuza nchi zingine duniani, kwa mara nyingine tena muungano wa madola ya Asia na Ulaya unaendelea kuimarika na kupata nguvu zaidi.

  • Hungary yailaumu Marekani kwa 'kuididimiza' Ulaya

    Hungary yailaumu Marekani kwa 'kuididimiza' Ulaya

    Feb 23, 2023 23:36

    Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orbán ameilaumu Marekani kwa kusababisha kudidimia na kupoteza ushawishi nchi za Ulaya.

  • Makubaliano ya China ya Russia ya kukabiliana na mielekeo ya Marekani ya kutaka kuziburuza nchi zingine duniani

    Makubaliano ya China ya Russia ya kukabiliana na mielekeo ya Marekani ya kutaka kuziburuza nchi zingine duniani

    Feb 23, 2023 23:33

    Huku Marekani ikiendelea kung'ang'ania sera yake ya kujifanyia mambo kivyake na kutaka kuziburuza nchi zingine duniani, kwa mara nyingine tena muungano wa madola ya Asia na Ulaya unaendelea kuimarika na kupata nguvu zaidi.

  • Mkuu wa Kikosi cha Quds cha IRGC: Iran imezuia njama za Marekani za kudhibiti Asia Magharibi

    Mkuu wa Kikosi cha Quds cha IRGC: Iran imezuia njama za Marekani za kudhibiti Asia Magharibi

    Feb 22, 2023 23:03

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, Iran imefanikiwa kukwamisha majaribio ya Marekani ya kutaka kujikita katika eneo la Magharibi mwa Asia na kuyaweka mataifa ya eneo hilo chini ya udhibiti wake.

  • Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi

    Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi

    Feb 21, 2023 23:02

    Jumatatu ya tarehe 20 Februari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha rasimu ya azimio linalolaani uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Jeshi la Marekani mchafuzi mkubwa zaidi wa hewa Mashariki ya Kati

    Jeshi la Marekani mchafuzi mkubwa zaidi wa hewa Mashariki ya Kati

    Feb 21, 2023 07:24

    Ripoti iliyotolewa na tovuti ya habari ya Middle East Eye inaonyesha kuwa jeshi la Marekani ni moja ya wasababishaji wakubwa zaidi wa uchafuzi unaoleta mabadiliko ya hali ya hewa katika Mashariki ya Kati.

  • Hizbullah: Vikwazo vya Marekani havina tofauti na vita vya kijeshi

    Hizbullah: Vikwazo vya Marekani havina tofauti na vita vya kijeshi

    Feb 19, 2023 22:53

    Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, vikwazo vya Marekani dhidi ya Lebanon na nchi zingine havina tofauti na vita vya kijeshi.

  • Jibu kali la Iran kwa taarifa ya pamoja ya US na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Jibu kali la Iran kwa taarifa ya pamoja ya US na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Feb 18, 2023 22:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametupilia mbali maelezo yaliyomo kwenye taarifa ya kikao cha tatu cha jopo kazi la pamoja la Marekani na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na kueleza kwamba kutolewa taarifa kama hiyo kunaendana na mkakati wa muda mrefu wa utawala wa Marekani wa kuzusha mfarakano kati ya nchi za eneo hili. 

  • Utafiti: Idadi ya vijana wanaojiua nchini Marekani yaongezeka

    Utafiti: Idadi ya vijana wanaojiua nchini Marekani yaongezeka

    Feb 18, 2023 04:08

    Imeelezwa kuwa, idadi ya vijana wanaojiua nchinii Marekani imeongezeka mno katika katika kipindi cha janga la virusi vya Corona.

  • Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran

    Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran

    Feb 17, 2023 23:07

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa, matamshi ya viongozi wa China kuhusiana na kuwa na urafiki usio na mipaka na Russia yamepelekea kuibuka wasiwasi nchini Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS