Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • 2025, mwaka wa kushindwa uchumi wa Marekani

    2025, mwaka wa kushindwa uchumi wa Marekani

    Jan 04, 2026 02:40

    Gazeti la Marekani la Axios limeandika kuwa: Katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2025, ambao ulikuwa mwaka wa kwanza wa urais wa Donald Trump, uchumi wa Marekani ulifika kwenye ukingo wa mgogoro kutokana na mfumuko wa bei, kupungua kwa ajira, na kutoridhika kwa umma.

  • Iran yaihutubu UN kuhusu 'mwenendo haramu endelevu' wa Trump

    Iran yaihutubu UN kuhusu 'mwenendo haramu endelevu' wa Trump

    Jan 03, 2026 03:31

    Iran imeuonya rasmi Umoja wa Mataifa kuhusu "mwenendo haramu endelevu" wa Marekani, kufuatia matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump ambayo Jamhuri ya Kiislamu imeyashutumu na kuyaeleza kama ya uingiliaji wa mambo yake ya ndani na tishio la wazi la utumiaji nguvu.

  • Araghchi amjibu Trump: Vikosi vya Iran viko tayari kujibu mapigo

    Araghchi amjibu Trump: Vikosi vya Iran viko tayari kujibu mapigo

    Jan 02, 2026 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amemuonya Rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, akikosoa matamshi yake ya hivi karibuni na kuyaeleza kuwa "yasiyo na busara na hatarishi," na kusisitiza kwamba vikosi vya jeshi la Iran vimejiandaa kikamilifu kulinda mamlaka ya kujitawala nchi hii.

  • Kwa nini Marekani imepoteza nafasi yake ya kimataifa?

    Kwa nini Marekani imepoteza nafasi yake ya kimataifa?

    Jan 02, 2026 23:08

    Gazeti la The Wall Street Journal limeandika katika ripoti yake kwamba: "Marekani imepoteza hadhi yake ya kimataifa kwa kiasi kikubwa katika miaka 25 ya kwanza ya karne ya 21, kutokana na utawala mbaya, vita vya gharama kubwa na migogoro ya ndani."

  • Iran yajibu bwabwaja, vitisho na matamshi ya uingiliaji ya Trump

    Iran yajibu bwabwaja, vitisho na matamshi ya uingiliaji ya Trump

    Jan 02, 2026 06:47

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameonya kwamba, uingiliaji kati wa Marekani katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu utavuruga utulivu wa eneo zima la Asia Magharibi na kuhatarisha moja kwa moja maslahi ya Marekani katika eneo.

  • Denmark: Tutasimama kidete dhidi ya mpango wa Trump kwa Greenland

    Denmark: Tutasimama kidete dhidi ya mpango wa Trump kwa Greenland

    Jan 02, 2026 06:43

    Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen amepinga vikali juhudi mpya za Marekani za kuinunua Greenland, akitoa hotuba kali dhidi ya mpango huo, huku mvutano wa kidiplomasia baina ya pande mbili hizo ukipamba moto.

  • Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran

    Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran

    Jan 01, 2026 06:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosoa vikali vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, na kusema jamii ya kimataifa inapinga sera hizo za vitisho.

  • Wizara ya Usalama imewatia mbaroni watu 7 wenye mfungamano na makundi adui yaliyoko US, UK

    Wizara ya Usalama imewatia mbaroni watu 7 wenye mfungamano na makundi adui yaliyoko US, UK

    Jan 01, 2026 03:42

    Wizara ya Usalama na Intelijensia ya Iran imewatia mbaroni watu saba wanaohusishwa na makundi yenye uadui na Jamhuri ya Kiislamu ambayo yana makao yao Marekani na barani Ulaya.

  • Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa

    Dec 31, 2025 08:58

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa, vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

  • Radiamali ya Russia kwa vitisho vipya vya US, Israel dhidi ya Iran

    Radiamali ya Russia kwa vitisho vipya vya US, Israel dhidi ya Iran

    Dec 31, 2025 06:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amejibu vitisho vya hivi karibuni vilivyotolewa na Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS