-
Rais wa Uturuki aikosoa Marekani kwa kuunga mkono ugaidi Syria
Dec 13, 2022 03:37Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki amekosoa hatua ya Marekani ya kuyapa makundi ya kigaidi yaliyopo kaskazini mwa Syria msaada wa fedha na silaha.
-
China: Marekani isiitumie Afrika katika michezo yake ya kijiopolitiki
Dec 13, 2022 03:29Balozi wa China nchini Marekani amepinga madai ya Washington kuwa nchi za Afrika zimenasa kwenye mtego wa Beijing kutokana na madeni.
-
Don DeBar: Marekani ingali inadhibiti matukio ya Libya
Dec 12, 2022 07:12Mwandishi wa habari na mchambuzi mmoja wa masuala ya kisiasa wa Marekani amesema kufufuliwa kwa faili la shambulio la bomu la Lockerbie la mwaka 1986 kunaonesha wazi kuwa Washington ingali inadhibiti na kuingilia masuala ya ndani ya Libya.
-
Kukiri Marekani na Israel kuhusu kutotetereshwa Iran na machafuko ya hivi karibuni
Dec 06, 2022 10:16Sambamba na himaya na uungaji mkono wa Marekani kwa wafanya fujo na machafuko nchini Iran, wachambuzi waandamizi wa masuala ya usalama wa Marekani na utawala haramu wa Israel wamekiri kwamba, Iran haijatetereshwa na machafuko hayo ya hivi karibuni.
-
Sheikh Naim Qassim: Daima Marekani imekuwa ikifuatilia kuzusha machafuko Lebanon
Dec 05, 2022 22:47Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani daima imekuwa ikifutilia kuzusha vurugu na machafuko nchinii Lebanon.
-
Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin
Dec 04, 2022 06:09Siku ya Ijumaa, Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ilikataa sharti ambalo Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa ameliweka kwa ajili ya mazungumzo na Vladimir Putin kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutangaza kwamba mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine yataendelea.
-
Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake
Dec 04, 2022 00:13Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema Wamarekani wanatambua wazi kuwa wamefeli katika juhudi zao za kuunda dunia yenye kufuata sera, amri na mienendo ya Washington.
-
Indonesia yakataa kumpokea mjumbe maalumu wa kutetea ubaradhuli wa Marekani
Dec 03, 2022 07:14Marekani imelazimika kufuta safari ya mjumbe wake maalumu wa kutetea eti haki za mabaradhuli (LGBTQ) nchini Indonesia, baada ya nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia kusema kuwa haitampokea afisa huyo wa Washington.
-
Vifo vya wazee kwa kutumia mihadarati vyaongezeka Marekani
Dec 03, 2022 07:06Ripoti mpya ya utafiti inaonesha kuwa, idadi ya wazee wenye umri wa miaka 65 na zaidi wanaopoteza maisha kutokana na matumizi ya mihadarati nchini Marekani imeongezeka sana.
-
Safari ya Macron mjini Washington na ukosoaji mkubwa wa vita vya kibiashara vya Marekani dhidi ya Ulaya
Dec 02, 2022 06:46Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba ruzuku inayotolewa kwa viwanda vya nchi hiyo dhidi ya makampuni ya Ufaransa ni "hujuma isiyo ya kawaida".