-
Iran: Hatujapokea jibu la US kuhusu mapendekezo ya Ulaya
Aug 22, 2022 06:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea majibu kutoka kwa Marekani juu ya mapendekezo yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Misri mwenyeji wa luteka inayojumuisha US, Saudia, Ugiriki na Imarati
Aug 22, 2022 06:34Vikosi maalumu vya majeshi ya Misri, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Ugiriki na Cyprus vimezindua mazoezi ya pamoja ya kijeshi nchini Misri.
-
Jinai mpya ya Marekani Somalia, Biden ameua Wasomali 465
Aug 22, 2022 02:21Shirika linalochunguza mashambulizi ya anga ya kimataifa limefichua kuwa Marekani inaficha idadi halisi ya vifo vya raia nchini Somalia na kwamba idadi ya waliopoteza maisha katika nchi hiyo ya Afrika ni mara 30 zaidi ya ile iliyotangazwa na Pentagon.
-
Momeni: Iran inaongoza nchi zote duniani kwa kukamata madawa ya kulevya
Aug 20, 2022 05:38Katibu Mkuu wa Kamati ya Kupambana na Madawa ya Kulevya ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ndiyo nchi inayokamata kiwango kikubwa zaidi cha mihadarati na madawa ya kulevya duniani.
-
Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China
Aug 19, 2022 22:11Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China.
-
Mkuu wa zamani wa CIA: Republicans ni chama cha siasa hatari zaidi kuliko ISIS, Al Qaeda
Aug 19, 2022 07:24Mkuu wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amsema Republicans ni chama hatari zaidi za siasa.
-
Yemen yaonya kuhusu harakati za kutia shaka za askari wa US, Ufaransa
Aug 18, 2022 23:35Bunge la Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen limetadharisha kuhusu harakati na nyendo za kutiliwa shaka za wanajeshi wa Marekani na Ufaransa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
China: Uhuru wa Taiwan maana yake ni vita
Aug 18, 2022 23:34Balozi wa China mjini London ameonya kuwa, uingiliaji wa mambo unaofanywa na Uingereza na Marekani juu ya suala la Taiwan hautakuwa na matokeo mengine ghairi ya vita.
-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 17, 2022 23:41Mousa Mohammed Abu Marzook, Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Tamko la Putin kuhusu utayari wa Russia wa kuwapatia waitifaki wake silaha za kisasa kabisa
Aug 17, 2022 22:14Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Moscow iko tayari kuwapatia waitifaki wake wa Amerika ya Latini, Asia na Afrika aina mbalimbali za silaha za kisasa kabisa.