Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran: Uingiliaji wa US, NATO umeshadidisha mgogoro wa Ukraine

    Iran: Uingiliaji wa US, NATO umeshadidisha mgogoro wa Ukraine

    Feb 22, 2022 23:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali chokochoko za Marekani na shirika la kijeshi la NATO katika mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa, uingiliaji huo umeshadidisha taharuki mashariki mwa nchi hiyo jirani na Russia.

  • Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban

    Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban

    Feb 22, 2022 11:14

    Baada ya kupita miezi sita tangu wanamgambo wa Taliban wachukue madaraka nchini Afghanistan, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, kuendelezwa mawasiliano na Taliban na kufanyika mazungumzo baina ya Waafghani ndio chaguo bora zaidi na ni kwa maslahi ya pande zote nchini humo pamoja na jamii ya kimataifa.

  • Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Feb 20, 2022 21:43

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, huenda akafungwa jela miaka mitano kwa madai kwamba alichukua nyaraka za siri za Ikulu ya Rais wa Marekani kuhusiana na usalama wa taifa alipoondoka madarakani mwaka jana.

  • Familia yalaani hukumu 'laini' dhidi ya polisi mzungu aliyeua kijana mweusi US

    Familia yalaani hukumu 'laini' dhidi ya polisi mzungu aliyeua kijana mweusi US

    Feb 20, 2022 04:31

    Wanasheria na familia ya kijana mwenye asili ya Afrika aliyeuawa na polisi mzungu nchini Marekani mwaka jana wamelaani vikali kitendo cha kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili pekee askari huyo muuaji katika mji Minneapolis.

  • Russia yamfukuza Naibu Balozi wa Marekani mjini Moscow

    Russia yamfukuza Naibu Balozi wa Marekani mjini Moscow

    Feb 17, 2022 23:37

    Russia imemtimua mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani nchini humo, wakati huu ambapo nchi mbili hizo zinaendelea kuzozana kuhusu madai ya Wamagharibi kuwa serikali ya Moscow ina azma ya kuivamia kijeshi Ukraine.

  • Putin asisitiza, Russia haina nia ya kuingia vitani na Ukraine

    Putin asisitiza, Russia haina nia ya kuingia vitani na Ukraine

    Feb 16, 2022 23:18

    Rais Vladimir Putin wa Rassia aliuambia mkutano wa waandishi wa habari siku ya Jumanne baada ya kukutana na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, huko Kremlin kwamba ametoa wito kwa nchi za Magharibi kujiepusha kupeleka silaha za kivita kwenye mipaka ya Russia na kwamba zinapaswa kusitisha upanuzi wa shirika la NATO upande wa Mashariki.

  • Taliban yatishia kuangalia upya sera za Afghanistan kwa Marekani

    Taliban yatishia kuangalia upya sera za Afghanistan kwa Marekani

    Feb 15, 2022 23:05

    Serikali ya Taliban nchini Afghansitan imetishia kuangalia upya misimamo na sera zake kwa Marekani, iwapo Washington itakataa kuachia mabilioni ya fedha za Waafghani ilizozuilia.

  • Hotuba ya Imran Khan kuhusu kuwa na matokeo hasi vita vya Marekani dhidi ya ugaidi

    Hotuba ya Imran Khan kuhusu kuwa na matokeo hasi vita vya Marekani dhidi ya ugaidi

    Feb 15, 2022 23:05

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekosoa sera na utendaji wa Marekani nchini Afghanistan na kusisitizia ulazima wa Washington kubadilisha mtazamo wake kuhusiana na hatua zake za kijeshi nje ya nchi; na akasema kuwa, vita vya Marekani dhidi ya ugaidi vimekuwa na matokeo hasi na vimesababisha kuongezeka ugaidi duniani.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan: Vita vya Marekani dhidi ya ugaidi vimekuwa na matokeo hasi

    Waziri Mkuu wa Pakistan: Vita vya Marekani dhidi ya ugaidi vimekuwa na matokeo hasi

    Feb 14, 2022 23:32

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekosoa sera na utendaji wa Marekani nchini Afghanistan na kusisitizia ulazima wa Washington kubadilisha mtazamo wake kuhusiana na hatua zake za kijeshi nje ya nchi; na akasema: vita vya Marekani dhidi ya ugaidi vimekuwa na matokeo hasi na vimesababisha kushamiri ugaidi duniani.

  • Juhudi za Marekani za kuendelea kuisaidia UAE katika vita dhidi ya watu wa Yemeni

    Juhudi za Marekani za kuendelea kuisaidia UAE katika vita dhidi ya watu wa Yemeni

    Feb 14, 2022 22:50

    Ndege kadhaa za kivita za Marekani ain ya F-22 siku ya Jumamosi ziliwasili katika Kituo cha Ndege za Kivita cha Al-Dhafra katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa Jeshi la Anga la Marekani, kutumwa kwa ndege hizo za kivita kunafuatia mapatano baina ya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin, na Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi, Mohammed bin Zayed Al Nahyan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS