Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Venezuela yaitaka ICC ichunguze vikwazo vya Marekani dhidi yake

    Venezuela yaitaka ICC ichunguze vikwazo vya Marekani dhidi yake

    Aug 25, 2021 08:26

    Makamu wa Rais wa Venezuela ameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ifanye uchunguzi juu ya vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini, akisisitiza kuwa vikwazo hivyo ni jinai dhidi ya binadamu.

  • Mazungumzo ya Mkuu wa CIA na Mullah Baradar; kielelezo cha uhusiano wa siri wa Marekani na Taliban

    Mazungumzo ya Mkuu wa CIA na Mullah Baradar; kielelezo cha uhusiano wa siri wa Marekani na Taliban

    Aug 25, 2021 05:16

    Gazeti la Washington Post limeandika katika toleo lake la jana Jumanne kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA William Burns amekutana na kufanya mazungumzo kwa njia ya siri na Mkuu wa Kisiasa wa Taliban Mullah Abdul Ghani Baradar, katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Lavrov: Russia inapinga kuwepo wanajeshi wa Marekani katikati mwa Asia

    Lavrov: Russia inapinga kuwepo wanajeshi wa Marekani katikati mwa Asia

    Aug 25, 2021 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, nchi hiyo inapinga suala la kupelekwa wanajeshi wa Marekani katika eneo la katikati mwa Asia.

  • Lavrov: Mchakato wa kupunguza mvutano kati ya Russia na Marekani ni mgumu mno

    Lavrov: Mchakato wa kupunguza mvutano kati ya Russia na Marekani ni mgumu mno

    Aug 24, 2021 08:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema, nchi yake inaamini kuwa mchakato wa kupunguza mvutano na Marekani ni mgumu mno.

  • Nafasi ya Marekani katika mgogoro wa sasa nchini Lebanon

    Nafasi ya Marekani katika mgogoro wa sasa nchini Lebanon

    Aug 23, 2021 22:12

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah Jumapili ya juzi tarehe 22 Agosti alitoa hotuba akizungumzia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kusema kuwa, Marekani imekuwa na nafasi kubwa katika kuchochea mgogoro wa sasa wa Lebanon.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan aitaka Marekani iache uroho na uchu wa mali

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan aitaka Marekani iache uroho na uchu wa mali

    Aug 22, 2021 23:01

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Japan amesema ili kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani inapaswa kuachana na tabia yake ya uroho, uchu na hamu kubwa ya kukusanya na kurundika mali.

  • Kupinga Putin ombi la Biden la kuasisi kituo cha kijeshi karibu na Afghanistan

    Kupinga Putin ombi la Biden la kuasisi kituo cha kijeshi karibu na Afghanistan

    Aug 21, 2021 05:42

    Gazeti linalochapishwa nchini Marekani la Wall Street Journal limeandika kuwa, Rais Vladimir Putin wa Russia katka mazungumzo ya tarehe 16 Juni aliyofanya na Rais wa Marekani amepinga ombi la Biden la kutaka Washington kuwa na nafasi yoyote katika nchi za Asia ya Kati.

  • Viongozi wa Marekani wanyoosheana vidole vya lawama kuhusu kufedheheshwa nchi hiyo huko Afghanistan

    Viongozi wa Marekani wanyoosheana vidole vya lawama kuhusu kufedheheshwa nchi hiyo huko Afghanistan

    Aug 20, 2021 04:49

    Kufuatia kuingia tena madarakani huko Afghanistan kundi la Taliban, ambayo ni ishara ya wazi ya kushindwa vibaya kijeshi nchi hiyo ya Magharibi, Rais Joe Biden amekososlewa vikali kuhusiana na siasa zake za kuondoa askari wa nchi hiyo katika ardhi ya Afghanistan, ambapo sasa vyombo tofauti vya intelijensia na usalama vya Washington vinarushiana lawama kuhusu kadhia hiyo.

  • Al Houthi: Saudi Arabia ijifunze kutokana na kushindwa Marekani huko Afghanistan

    Al Houthi: Saudi Arabia ijifunze kutokana na kushindwa Marekani huko Afghanistan

    Aug 19, 2021 19:36

    Mjumbe wa ngazi ya juu wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia unapaswa kujifunza na kupata ibra kutokana na tajiriba ya kushindwa na kufeli Marekani huko Afghanistan.

  • Ripoti mpya kuhusu matokeo ya vita vya miaka 20 vya Marekani huko Afghanistan

    Ripoti mpya kuhusu matokeo ya vita vya miaka 20 vya Marekani huko Afghanistan

    Aug 19, 2021 19:34

    Taasisi ya Watson Institute for International and Public Affairs katika Chuo Kikuu cha Brown imetangaza katika ripoti yake mpya kwamba, Marekani imetumia dola trilioni 2.26 katika vita vyake vya miaka 20 huko Afghanistan ambavyo vilianza msimu wa mapukutiko wa mwaka 2001.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS