Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Russia: Wanajeshi wa Marekani nchini Syria ni wavamizi, waondoke

    Russia: Wanajeshi wa Marekani nchini Syria ni wavamizi, waondoke

    Jun 09, 2021 07:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, wanajeshi wa Marekani ni wavamizi nchini Syria na wako huko kinyume cha sheria, hivyo wanapaswa waondoke.

  • Eritrea yailaumu Marekani kwa kuchochea mapigano Tigray, Ethiopia

    Eritrea yailaumu Marekani kwa kuchochea mapigano Tigray, Ethiopia

    Jun 08, 2021 03:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Eritrea amezilaumu tawala za Marekani kwa kuchochea mapigano na vita katika eneo la Tigray, la kaskazini mwa Ethiopia kwa zaidi ya miongo miwili sasa.

  • Vikwazo vya Marekani kipindi cha corona ni ukiukaji wa haki za binadamu

    Vikwazo vya Marekani kipindi cha corona ni ukiukaji wa haki za binadamu

    Jun 05, 2021 22:07

    Wimbi la maambukizi ya virusi vya corona linaendelea kuchukua roho za watu katika nchi mbalimbali duniani huku jumuiya za kimataifa zikisisitiza udharura wa kutolewa chanjo ya kukabiliana na virusi hivyo na kusambazwa chanjo hiyo na vifaa vingine vya tiba ili kufanikisha jitihada za kuvuka kipindi cha sasa cha janga hilo la kimataifa.

  • Upinzani Bahrain wailaani US kupeperusha 'bendera ya ushoga' Manama

    Upinzani Bahrain wailaani US kupeperusha 'bendera ya ushoga' Manama

    Jun 05, 2021 21:56

    Chama kimoja cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kupeperusha bendera yenye nembo ya kuunga mkono ushoga katika ubalozi wake mjini Manama.

  • Viongozi wa Marekani waendelea na madai yao ya kuijenga upya Ghaza

    Viongozi wa Marekani waendelea na madai yao ya kuijenga upya Ghaza

    Jun 05, 2021 07:21

    Mwakilishi wa kudumu wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ameendeleza madai ya viongozi wa nchi hiyo kuhusu kuujenga upya Ukanda wa Ghaza. Amedai kuwa Washington inafanya juhudi za kukusanya misaada ya kimataifa ya kuujenga upya ukanda huo.

  • Maelfu waandamana katika bandari ya Oakland, Marekani kuiunga mkono Palestina

    Maelfu waandamana katika bandari ya Oakland, Marekani kuiunga mkono Palestina

    Jun 05, 2021 02:28

    Maandamano ya maelfu ya watu ya kuiunga mkono Palestina na kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina yamefanywa kwa kushirikiana na Muungano wa Wafanyakazi wa Bandari za Marekani. Maandamano hayo yamefanikiwa kuzuia meli ya utawala wa Kizayuni wa Israel kukaribia bandari hiyo.

  • Biden atahadharisha kuhusu ugaidi wa wabaguzi wa rangi nchini Marekani

    Biden atahadharisha kuhusu ugaidi wa wabaguzi wa rangi nchini Marekani

    Jun 02, 2021 22:01

    Katika hotuba yake ya juzi kwenye kumbukumbu ya mwaka wa 100 tangu baada ya mauaji yaliyofanywa na wazungu dhidi ya Wamarekani weusi katika mji wa Tulsa jimboni Oklahoma, Rais Joe Biden wa Marekani aliutaja ugaidi wa wazungu wabaguzi wa rangi wanaojiona kuwa bora kuliko wanadamu wengine kuwa ni tishio hatari zaidi kwa Marekani.

  • Wanaokubali chanjo ya Corona Marekani kupewa 'zawadi' ya bunduki

    Wanaokubali chanjo ya Corona Marekani kupewa 'zawadi' ya bunduki

    Jun 02, 2021 02:45

    Jimbo la West Virginia nchini Marekani limetangaza 'zawadi' mbalimbali kwa wakazi wa jimbo hilo wataokubali kupigwa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19, ikiwemo zawadi ya bunduki.

  • Mwanasayansi wa Marekani atahadharisha, asema kutaibuka COVID-26 na COVID-32

    Mwanasayansi wa Marekani atahadharisha, asema kutaibuka COVID-26 na COVID-32

    Jun 01, 2021 21:59

    Mwanasayansi wa Marekani ameonya kwamba, kutajitokeza COVID-26 na COVID-32 iwapo hatufanyika uchunguzi wa kina wa kubaini asili na chanzo cha virusi vya Corona vinavyosababisha maradhi ya COVID-19.

  • Ujerumani kuchungua ujasusi wa Marekani na Denmark dhidi ya viongozi wa EU

    Ujerumani kuchungua ujasusi wa Marekani na Denmark dhidi ya viongozi wa EU

    May 31, 2021 22:21

    Msemaji wa serikali ya Ujerumani ameeleza msimamo wa Berlin baada ya kufichuliwa ujasusi uliofanywa na Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani na Shirika la Ujasusi la Denmark kwa viongozi wa Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS