Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu ndege za kivita aina ya B-52

    Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu ndege za kivita aina ya B-52

    Jan 18, 2021 01:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria uwepo wa ndege za kivita za Marekani aina ya B-52 katika eneo la Asia Magharibi na kuonya kuwa, Iran haitasita kutungua chombo chochote kinachokiuka anga yake.

  • Mabadiliko katika stratijia ya kijeshi ya Marekani Asia Magharibi

    Mabadiliko katika stratijia ya kijeshi ya Marekani Asia Magharibi

    Jan 18, 2021 01:19

    Marekani imetoa huduma kubwa kwa utawala haramu wa Israel katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi: Askari wa Marekani lazima waondoke Iraq

    Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi: Askari wa Marekani lazima waondoke Iraq

    Jan 18, 2021 01:17

    Mkuu wa Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq amesisitiza ulazima wa kutekelezwa mpango uliopitishwa na bunge wa kutaka askari wa jeshi la Marekani waondoke nchini humo.

  • Mgogoro wa uongozi Marekani, mtu mmoja akamatwa na silaha na risasi 500 haramu Washington DC

    Mgogoro wa uongozi Marekani, mtu mmoja akamatwa na silaha na risasi 500 haramu Washington DC

    Jan 17, 2021 09:50

    Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI imemtia mbaroni mtu mmoja akiwa na silaha na risasi 500 haramu katika mji mkuu wa nchi hiyo, Washington.

  • Wayemen waandamana kuilaani Marekani kwa kuiweka Ansarullah katika orodha nyeusi

    Wayemen waandamana kuilaani Marekani kwa kuiweka Ansarullah katika orodha nyeusi

    Jan 17, 2021 04:25

    Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano katika mkoa wa Sa'ada, kaskazini magharibi mwa nchi kulaani hatua ya Marekani ya kuliweka jina la Ansarullah katika orodha yake ya makundi ya kigaidi na kuitaka ifutilea mbali uamuzi wake huo.

  • Trump ampa Mfalme wa Morocco tuzo kwa kuanzisha uhusiano na Israel

    Trump ampa Mfalme wa Morocco tuzo kwa kuanzisha uhusiano na Israel

    Jan 17, 2021 04:22

    Rais Donald Trump wa Marekani amemtunuku tuzo ya kifahari Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco, kutokana na hatua yake ya kukubali kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Utawala wa Trump waendelea kutekeleza siasa zilizofeli dhidi ya Iran

    Utawala wa Trump waendelea kutekeleza siasa zilizofeli dhidi ya Iran

    Jan 17, 2021 02:48

    Ikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kumalizika rasmi utawala wa Rais Donald Trump nchini Marekani, utawala huo umeamua kuongeza mashinikizo ya juu zaidi na vikwazo dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran.

  • Uhasama usio na mwisho wa Marekani dhidi ya Hashdu Shaabi

    Uhasama usio na mwisho wa Marekani dhidi ya Hashdu Shaabi

    Jan 16, 2021 22:49

    Marekani imemuwekea vikwazo Abu Fadak al Muhammadawi Naibu Mkuu wa Harakati ya al Hashdu al Sha'abi katika kuendeleza hatua zake dhidi ya kundi hilo la kujitolea la wananchi wa Iraq.

  • FBI: Watu zaidi 200 wanashukiwa kutaka kutumia silaha moto kuvuruga sherehe ya kuapishwa Biden

    FBI: Watu zaidi 200 wanashukiwa kutaka kutumia silaha moto kuvuruga sherehe ya kuapishwa Biden

    Jan 16, 2021 09:44

    Mkuu wa polisi ya upelelezi ya Marekani FBI amesema, kuna ushahidi wenye kutia wasiwasi juu ya uwezekano wa kufanyika maandamano ya upinzani ya utumiaji wa silaha moto sambamba na hafla ya kuapishwa rais mpya wa nchi hiyo.

  • Trump; maafa na msiba kwa haki za binadamu

    Trump; maafa na msiba kwa haki za binadamu

    Jan 16, 2021 00:11

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake wenye utata mwingi nchini Marekani, Rais Donald Trump ameacha nyuma historia nyeusi kuhusu suala zima la haki za binadamu, huku akilaumiwa na kukosolewa vikali katika siku za mwisho za utawala wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS