-
Sudan: Marekani ilitushinikiza tuanzishe uhusiano na Israel
Nov 20, 2020 00:23Waziri wa Habari, Utamaduni na Utalii wa Sudan amefichua kuwa, Marekani iliiwekea nchi hiyo ya Kiafrika mashinikizo makubwa ya kuitaka ianzishe uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Mashambulizi ya jeshi la Marekani yameua raia 13,000 Syria na Iraq
Nov 20, 2020 00:09Shirika lisilo la kiserikali la Airwars lenye makao yake mjini London Uingereza limeripoti kuwa, raia wasiopungua 13,000 wa Syria na Iraq wameuawa katika mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh wa Marekani katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
-
Vikwazo vipya na kuendelea mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran
Nov 19, 2020 08:46Katika hali ambayo imebakia miezi miwili tu hadi kukata roho serikali ya Donald Trump huko Marekani, lakini rahisi huyo mwenye chuki za kidini ameendelea kuwawekea vikwazo wananchi wa Iran katika muendelezo wa vikwazo vyake vya kiwango cha juu dhidi ya taifa hili la Kiislamu huku kukiwa na taarifa kwamba amekusudia kutangaza vikwazo vipya kila wiki dhidi ya Tehran.
-
Maseneta wa Marekani wapanga kuzuia mauzo ya silaha kwa Imarati
Nov 19, 2020 03:45Maseneta watatu wa Marekani wamesema wanataka kuwasilisha miswada ya kuizuia serikali ya hivi sasa ya Donald Trump kuiuzia silaha Imarati.
-
Rouhani: Utawala wa sasa wa Marekani ni wa kijinai na kigaidi
Nov 18, 2020 08:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kuhusu mienendo haribifu na ugaidi wa kiuchumi wa Washington na kusema kuwa, utawala ulioko madarakani hivi sasa nchini Marekani ni mtenda jinai na dola la kigaidi.
-
Trump amfuta kazi afisa wa ngazi za juu aliyesema uchaguzi haukua na doa
Nov 18, 2020 07:03Rais Donald Trump aliyebwagwa katika uchaguzi wa rais wa Marekani uliofanyika mapema mwezi huu amempiga kalamu nyekundu Mkurugenzi wa Wakala wa Usalama wa Mitandao na Miundomsingi wa nchi hiyo, kwa kutoa kauli iliyomghadhabisha kiongozi huyo kuhusu uchaguzi.
-
Kukiri Obama kwamba jamii ya Marekani ina mpasuko na mgawanyiko wa kambi mbili
Nov 17, 2020 04:00Mgogoro wa kisiasa ambao haujawahi kushuhudiwa, unaoendelea hivi sasa ndani ya Marekani, ambao umetokana na rais wa nchi hiyo Donald Trump aliyegombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican kukataa kwamba ameshindwa katika kinyang'anyiro hicho cha 2020 na Joe Biden aliyegombea kwa tiketi ya chama cha Democratic, umepelekea kutolewa tahadhari na indhari kubwa juu ya hatari ya kugawanyika nchi hiyo.
-
Obama: Matokeo ya uchaguzi yanaonyesha Marekani imegawanyika katika kambi mbili
Nov 16, 2020 03:36Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema, matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu yamedhihirisha kuwa, kuna mpasuko mkubwa wa tofauti ndani ya nchi hiyo.
-
Biden kutazama upya uhusiano wa karibu wa Marekani na Saudia
Nov 15, 2020 08:57Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa, Rais mteule wa nchi hiyo, Joe Biden anatazamiwa kuangalia upya uhusiano wa karibu uliopo hivi sasa baina ya nchi hiyo na Saudi Arabia.
-
Ghalibaf: Kasi ya kuporomoka Marekani imeongezeka
Nov 15, 2020 04:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, matukio yaliyoambatana na uchaguzi wa Marekani yamezidi kuporomosha itibari ya nchi hiyo na kuongeza kasi ya kuporomoka mfumo wa kibeberu wa Marekani.