Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mbunge wa Iraq: Muswada wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani, utekelezwe haraka

    Mbunge wa Iraq: Muswada wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani, utekelezwe haraka

    Nov 15, 2020 04:37

    Mjumbe mmoja wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesisitiza kwamba, hakutakuwa na tofauti yoyote kubadilishwa sura ya rais wa Marekani, lililo muhimu kwa Iraq ni kutekelezwa muswada uliopasishwa na bunge la nchi hiyo wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani nchini Iraq.

  • Kundi la G-77 na China zatoa wito wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran

    Kundi la G-77 na China zatoa wito wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran

    Nov 14, 2020 06:16

    Baada ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 katika fremu ya siasa zake za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi, Marekani iliamua kutekeleza na kuzidisha vikwazo vikali dhidi ya Jamhuri ya Kiilamu ya Iran ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia.

  • Trump kushiriki maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi Marekani

    Trump kushiriki maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi Marekani

    Nov 14, 2020 03:51

    Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump amesema yumkini leo atajiunga na wafuasi wake katika maandamano ya mjini Washington, ya kupinga mchakato na matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita.

  • Wito wa kuhitimishwa sarakasi za uchaguzi wa rais wa Marekani

    Wito wa kuhitimishwa sarakasi za uchaguzi wa rais wa Marekani

    Nov 14, 2020 03:16

    Kuendelea kwa mzozo wa matokeo ya uchaguzi wa rais wa Marekani uliozushwa na Rais Donalld Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi huo, kupanuka mzozo huo na kutolewa madai mapya kumetajwa kuwa ni tahadhari kubwa kuhusiana na matokeo mabaya kwa Marakeni.

  • Trump: Kuna wizi mkubwa wa kura nchini Marekani; Waendeshaji wasema, hakuna ushahidi

    Trump: Kuna wizi mkubwa wa kura nchini Marekani; Waendeshaji wasema, hakuna ushahidi

    Nov 13, 2020 23:03

    Huku rais wa Marekani, Donald Trump, akiendelea kulalamikia uchakachuaji na wizi mkubwa wa kura nchini Marekani, taasisi zilizohusika na uendeshaji wa uchaguzi huo zimesema kuwa hakuna ushahidi wa kuthibitisha kuweko uchakachuaji au kupotea kura za uchaguzi huo wa Novemba 3, 2020.

  • Marekani yakerwa na kuchunguzwa rekodi yake mbovu ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa

    Marekani yakerwa na kuchunguzwa rekodi yake mbovu ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa

    Nov 13, 2020 05:38

    Marekani ambayo ni mmoja wa wakiukaji wakubwa zaidi wa haki za binadamu duniani, ina historia nyesu kuhusu jambo hilo na daima imekuwa ikiingilia masuala ya ndani na kuzikosoa nchi nyingine ili kujaribu kukwepa kuwajibika mbele ya Wamarekani na walimwengu kwa ujumla kuhusu suala hilo.

  • Jeshi la Afghanistan laikosoa Marekani kwa kutotoa ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi

    Jeshi la Afghanistan laikosoa Marekani kwa kutotoa ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi

    Nov 13, 2020 02:33

    Mkuu wa vikosi vya jeshi la Afghanistan amesema kuwa Marekani haitoa ushirikiano wowote kwa jeshi hilo katika mapambano dhidi ya kundi la Taliban na magenge ya magaidi.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, muendelezo wa njama za aliyeshindwa

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, muendelezo wa njama za aliyeshindwa

    Nov 12, 2020 07:13

    Baada ya Donald Trump kuitoa Marekani katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia yajulikanayo kwa jina la JCPOA hapo mwezi Mei 2018, Washington iliiwekea Iran vikwazo vya kiwango cha juu na hadi leo hii, kila siku inaweka vikwazo vipya.

  • Nasrullah: Utawala wa Trump ndio mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Nasrullah: Utawala wa Trump ndio mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Nov 12, 2020 03:57

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump ndiyo serikali mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.

  • Huduma kubwa ya Trump kwa Wazayuni; kuongezeka mara mbili na nusu ujenzi haramu  wa vitongoji katika kipindi cha miaka minne

    Huduma kubwa ya Trump kwa Wazayuni; kuongezeka mara mbili na nusu ujenzi haramu wa vitongoji katika kipindi cha miaka minne

    Nov 12, 2020 03:56

    Kundi linalojulikana kwa jina la "Amani Sasa" lililoko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel limetangaza kuwa, ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka minne ya urais wa Donald Trump nchini Marekani umeongezeka mara mbili na nusu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS