Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump, Netanyahu washindwa kuvuruga juhudi za kimataifa za kupambana na COVID-19

    Trump, Netanyahu washindwa kuvuruga juhudi za kimataifa za kupambana na COVID-19

    Sep 13, 2020 03:10

    Njama za Marekani na utawala wa Kizayuni za kukwamisha kupasishwa azimio la Umoja wa Mataifa la kuanzisha umoja wa kimataifa wa kupambana na kirusi cha corona, zimegonga mwamba.

  • Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani

    Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani

    Sep 13, 2020 03:04

    Uhusiano wa Russia na Marekani umekuwa na mivutano mikubwa baada ya kutokea mgogoro huko Ukraine mwaka 2014. Moja ya kadhia ambazo zimebadilika huko Marekani katika miaka ya karibuni na kuwa dhidi ya Moscow ni mjadala wa madai ya Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani. Kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani hivi sasa soko la tuhuma hizo limezidi kupamba moto.

  • Sanders: Trump ni Rais hatari zaidi katika historia ya Marekani

    Sanders: Trump ni Rais hatari zaidi katika historia ya Marekani

    Sep 12, 2020 22:46

    Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani ametaka kuungana wananchi wa Marekani ili kutoa pigo kwa Rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump ambaye amemtaja kuwa ni rais hatari zaidi wa Marekani kuwahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.

  • Hizbullah: Wananchi wa Lebanon hawatobadilika kwa sababu ya vikwazo vya Marekani

    Hizbullah: Wananchi wa Lebanon hawatobadilika kwa sababu ya vikwazo vya Marekani

    Sep 12, 2020 21:52

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, siasa za vikwazo za Marekani haziwezi kuwafanya wananchi wa Lebanon walegeze kamba na kubadilisha msimamo wao.

  • Rouhani: White House haifahamu chochote kuhusu ubinadamu

    Rouhani: White House haifahamu chochote kuhusu ubinadamu

    Sep 12, 2020 07:03

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ikulu ya White House ya Marekani haina ufahamu wowote kuhusu utu na ubinadamu.

  • Mapatano ya Aal Khalifa na utawala wa Kizayuni, chachu ya mapambano ya wananchi wa Bahrain

    Mapatano ya Aal Khalifa na utawala wa Kizayuni, chachu ya mapambano ya wananchi wa Bahrain

    Sep 12, 2020 06:31

    Ikiwa umepita karibu mwezi mmoja tangu Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel zifikie mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia, Rais Doald Trump wa Marekani ametangaza kwamba Bahrain na utawala wa Kizayuni pia zimekubaliana kuanzisha uhusiano kama huo.

  • Sisitizo la Troika ya Ulaya la kutokuwa na itibari jaribio la Marekani la kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    Sisitizo la Troika ya Ulaya la kutokuwa na itibari jaribio la Marekani la kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    Sep 12, 2020 02:54

    Baada ya kugonga mwamba hatua za kila aina ilizojaribu kuchukua Marekani ili kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran, Washington iliibua dai la kutaka kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Tehran, ambavyo viliondolewa baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA;

  • Mahakama ya Marekani yataka kusailiwa maafisa wanne wa Saudi Arabia kwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11

    Mahakama ya Marekani yataka kusailiwa maafisa wanne wa Saudi Arabia kwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11

    Sep 11, 2020 09:52

    Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 Marekani ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na ikachukua hatua ya kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.

  • Jaji wa New York ataka maafisa 4 wa Saudia wakamatwe kwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11

    Jaji wa New York ataka maafisa 4 wa Saudia wakamatwe kwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11

    Sep 11, 2020 06:52

    Jaji wa Mahakama ya Federa ya New York nchini Marekani ametoa wito wa kusailiwa maafisa wanne wa serikali ya Saudia kuhusiana na mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 katika miji ya New York na Washington.

  • Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?

    Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?

    Sep 11, 2020 03:06

    Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi na kusisitiza wakati wa kampeni zake za uchaguzi kwamba, endapo atachaguliwa kuwa Rais basi atayaondoa majeshi ya nchi hiyo yaliyopo katika eneo la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS