-
Hillary Clinton: Rais Trump ni hatari kwa demokrasia ya Marekani
Feb 25, 2020 04:32Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kama mtu hatari kwa demokrasia na kusisitiza kuwa, yuko tayari kumuunga mgombea yoyote atakayechuana na mwanasiasa huyo wa Republican katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Dmitry Novikov: Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani
Feb 24, 2020 03:37Mwanachama wa Kamati ya Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Russia (DUMA) amesema kuna uwezekano kwamba, virusi vya Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani.
-
Afisa wa White House: Sina taarifa yoyote kuhusu uingiliaji wa Russia katika uchaguzi
Feb 24, 2020 01:11Mshauri wa Usalama wa Taifa wa White House amesema kuwa hana taarifa wala nyaraka zozote zinazothibitisha kwamba Russia inaingilia uchaguzi huko Marekani. Hiyo ni katika kuendelea kutolewa matamshi yanayokinzana ya wanasiasa na viongozi wa Marekani kwamba Russia inaingilia masuala ya uchaguzi nchini humo.
-
Papa Francis akosoa mpango wa Trump wa Muamala wa Karne
Feb 24, 2020 01:10Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, kwa njia isiyo ya moja kwa moja amekosoa mpango wa Rais Donald Trump wa Muamala wa Karne ambapo ameonya kuwa, mipango ya namna hiyo inayoegemea upande mmoja haiwezi kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Palestina na Israel.
-
Marekani yafanya mazoezi ya vita vya kinyuklia dhidi Russia
Feb 22, 2020 21:46Jeshi la Marekani limefanya mazoezi ya kuishambulia Russia kwa silaha za nyuklia huku mzozo ukizidi kutokota kati ya madola hayo mawili yenye uwezo mkubwa zaidi wa silaha za nyuklia duniani.
-
Hatua ya kisiasa ya FATF ya kuiweka Iran katika orodha nyeusi
Feb 22, 2020 08:01Nchi za Magharibi huku zikiongozwa na Marekani kwa muda sasa zimekuwa zikizingatia na kutilia maanani utekelezaji wa siasa za mashinikizo ya pande zote kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lengo likiwa ni kujaribu kubadilisha misingi na siasa za nchi hii.
-
Mousavi: Wairani hawaithamini Marekani wala vikwazo vyake dhidi yao
Feb 21, 2020 23:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radimali yake kufuatia hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo wanachama wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, serikali, taifa na nguzo zote za Jamhuri ya Kiislamu haziipi thamani Marekani wala vikwazo vyake vya kidhalimu.
-
Safari ya Pompeo katika nchi kadhaa za Afrika na hamaniko la Marekani la kukabiliana na washindani wake
Feb 21, 2020 03:18Muelekeo wa madola ya Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima umekuwa wa kulikoloni, kulinyonya na kulipora utajiri wake bara hilo, pamoja na kuwakandamiza Waafrika wanaopigania nchi zo kuwa huru na kujitawala.
-
Seneti ya Pakistan yapasisha azimio dhidi ya njama ya Trump ya "Muamala wa Karne"
Feb 20, 2020 04:45Baraza la Seneti la Pakistan limepasisha kwa sauti moja azimio linalopinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" likisema kuwa unawataka Wapalestina wasalimu amri kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Seneta Sanders: Viongozi wa Saudi Arabia ni 'wauaji na majambazi'
Feb 20, 2020 00:54Seneta wa Marekani, Bernie Sanders anayeongoza katika kinyang'anyiro cha kuwania tiketi ya chama cha Domocratic kwa ajili ya kugombea kiti cha rais wa nchi hiyo ameikosoa Saudi Arabia katika kampeni zake huko Las Vegas na kuwaita viongozi wa nchi hiyo kuwa ni 'wauaji na majambazi'.