Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • IRGC: Vikosi na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu shambulizi la Marekani

    IRGC: Vikosi na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu shambulizi la Marekani

    Dec 31, 2019 03:55

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) sambamba na kulaani uvamizi uliofanywa na wanajeshi wa Marekani katika ardhi ya Iraq na shambulio walilofanya dhidi ya ngome za vikosi vya kujitolea vya wananchi vya wa nchi hiyo vya Hashdu Shaabi, limesema vikosi vya usalama pamoja na wananchi wa Iraq wana haki ya kujibu chokochoko hizo za Washington.

  • Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Dec 30, 2019 23:14

    Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani nchi hiyo ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na kutekeleza mashambulizi kadhaa ya kibabe katika pembe tofauti za dunia kufuatia madai hayo ya uongo, lakini kuenea kwa vitendo vya utumiaji silaha nchini humo, kumewapelekea watawala wa nchi hiyo kutoa tahadhari kuhusiana na kuenea ugaidi katika nchi hiyo ya Magharibi.

  • Wanajeshi waliostaafu Marekani wahamia Vietnam kupata huduma bora za afya

    Wanajeshi waliostaafu Marekani wahamia Vietnam kupata huduma bora za afya

    Dec 29, 2019 09:34

    Maelfu ya Wamarekani waliostaafu wakiwemo maveterani wa kivita wanaihama nchi yao na kuelekea Vietnam ili kupata huduma bora za afya na zenye bei nafuu.

  • Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria

    Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria

    Dec 28, 2019 07:13

    Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na waitifaki wake umewafanya magaidi waondoke katika ngome yao ya mwisho yaani mkoa wa Idlib. Jeshi la Syria na waitifaki wake wameanzisha operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuikomboa Idlib baada ya magaidi kukiuka makubaliano ya usitishaji vita. Hata hivyo nchi za Magharibi hususan Marekani zinataka kusimamishwa operesheni hiyo kwa visingizio vya masuala yanayohusiana na haki za binadamu.

  • Njama za Pompeo za kuhalalisha jinai za utesaji za Shirika la Ujasusi la Marekani CIA

    Njama za Pompeo za kuhalalisha jinai za utesaji za Shirika la Ujasusi la Marekani CIA

    Dec 28, 2019 04:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ametoa radiamali kufuatia kusambaa video ya utesaji ya Shirika la Ujasusi la Marekani CIA ambapo amejaribu kuhalalisha jinai za shirika hilo.

  • "Zawadi ya Krismasi" ya Korea Kaskazini na hofu na kiwewe cha Marekani na waitifaki wake

    Dec 28, 2019 03:32

    Sambamba na kukaribia kumalizika muhula iliotoa Korea Kaskazini kwa Marekani, ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa, harakati za ndege za ujasusi za Washington katika anga ya Peninsula ya Korea zimeshtadi na kupamba moto.

  • Uamuzi wa Trump kumbadilisha Waziri wa Mambo ya Nje

    Uamuzi wa Trump kumbadilisha Waziri wa Mambo ya Nje

    Dec 27, 2019 04:22

    Gazeti moja la Marekani limeeleza uwezekano wa kubadilishwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na kuteuliwa mtu mwingine mahala pake.

  • Radiamali ya Marekani kwa maneva ya Iran, Russia na China

    Radiamali ya Marekani kwa maneva ya Iran, Russia na China

    Dec 27, 2019 03:47

    Sean Robertson msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema kuwa nchi hiyo ina taarifa kuhusu maneva kati ya Iran, Russia na China na inafuatilia maneva hiyo.

  • Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani

    Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani

    Dec 26, 2019 22:54

    Kwa kuzingatia kuwa Marekani ndiko yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa, nchi hiyo ya kibeberu daima imekuwa ikiwawekea vikwazo wanadiplomasia na maafisa wa ngazi za juu wa nchi zinazopinga siasa za Washington, wanaoazimia kusafiri nchini humo kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kikazi.

  • Kamanda wa jeshi la Majini Iran: Marekani haina uthubutu wa kuivamia kijeshi Iran

    Kamanda wa jeshi la Majini Iran: Marekani haina uthubutu wa kuivamia kijeshi Iran

    Dec 26, 2019 22:52

    Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran amesema kuwa Wamarakeni wana umaarufu wa kufanya uvamizi dhidi ya nchi mbalimbali lakini kutokana na uwezo na utayarifu wa jeshi la nchi hii, hawana uthubutu wa kuivamia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS