Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • EU yatofautiana na US kuhusu uporaji wa ardhi za Wapalestina

    EU yatofautiana na US kuhusu uporaji wa ardhi za Wapalestina

    Nov 19, 2019 04:36

    Umoja wa Ulaya umeshikilia msimamo wake kuwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni haramu na kinyume cha sheria za kimataifa.

  • Umaarufu wa Donald Trump wazidi kuporomoka nchini Marekani

    Umaarufu wa Donald Trump wazidi kuporomoka nchini Marekani

    Nov 18, 2019 23:11

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonesha kuwa, idadi kubwa zaidi ya Wamarekani hawamtaki rais wa nchi hiyo Donald Trump na wanaamini kwamba ni mkosa katika kashfa ya "Ukraine Gate."

  • Marekani yaikataza Misri kushirikiana na Russia, yaendelea kutoa vitisho dhidi ya Cairo

    Marekani yaikataza Misri kushirikiana na Russia, yaendelea kutoa vitisho dhidi ya Cairo

    Nov 18, 2019 23:10

    Kwa mara nyingine Marekani imetoa vitisho vikali kwa Misri kutokana na uamuzi wake wa kununua ndege aina ya Sukhoi-35 kutoka Russia.

  • Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani

    Trump na vitisho vya kuirubuni Japan ilipe gharama kubwa zaidi ili ipatiwe ulinzi na Marekani

    Nov 17, 2019 09:57

    Kwa mara kadhaa Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akisisitizia suala la kuangaliwa upya uhusiano wa Washington na waitifaki wake katika pembe mbalimbali za dunia.

  • Marekani yazidi kumimina wanajeshi wake kaskazini mwa Syria + Video

    Marekani yazidi kumimina wanajeshi wake kaskazini mwa Syria + Video

    Nov 17, 2019 07:53

    Msafara mwingine mmoja wa wanajeshi wa Marekani umeingia katika mji wa Qamishli mkoani al Hasakah, huko kaskazini mashariki mwa Syria.

  • Jumuiya ya Kiislamu yasisitizia umoja na kuwa macho Waislamu

    Jumuiya ya Kiislamu yasisitizia umoja na kuwa macho Waislamu

    Nov 17, 2019 04:05

    Viongozi wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali duniani walioshiriki mkutano wa 12 wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu hapa Tehran wamesisitizia udharura wa kudumishwa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani.

  • 'Kuimarishwa uwezo wa kujihami Iran ni njia pekee ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani'

    'Kuimarishwa uwezo wa kujihami Iran ni njia pekee ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani'

    Nov 16, 2019 23:08

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njia pekee ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni kuimarisha uwezo wa nchi katika nyanja zote hasa katika uga wa nguvu za kijeshi

  • Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia

    Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia

    Nov 16, 2019 07:47

    Mitazamo ya upande mmoja ya Marekani na juhudi za nchi hiyo za kuimarisha ubeberu wake duniani, ambazo zimepata kasi kubwa katika utawala wa Rais Donald Trump, imechukua muelekeo mpya ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa huko nyuma.

  • CIA: Akiba ya fedha za kigeni ya Saudia imekaribia kumalizika

    CIA: Akiba ya fedha za kigeni ya Saudia imekaribia kumalizika

    Nov 16, 2019 04:28

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani, CIA amesema kuwa, akiba ya fedha za kigeni ya Saudi Arabia inaelekea kumalizika.

  • Sisitizo la Marekani la kuvunja kikamilifu mkataba wake na Uturuki kuhusu ndege za kivita za F-35

    Sisitizo la Marekani la kuvunja kikamilifu mkataba wake na Uturuki kuhusu ndege za kivita za F-35

    Nov 16, 2019 02:40

    Uhusiano wa Marekani na Uturuki haujatengenea tangu mwaka 2016 baada ya kutokea jaribio la mapinduzi nchini Uturuki na hasa kitendo cha Marekani cha kukataka kumkabidhi kwa Uturuki, Fethullah Gülen, anayetuhumiwa na Ankara kuwa muhusika mkuu wa jaribio hilo la mapinduzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS