Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mkutano wa BRICS na tahadhari ya Putin kuhusu vikwazo vya Marekani

    Mkutano wa BRICS na tahadhari ya Putin kuhusu vikwazo vya Marekani

    Nov 15, 2019 03:08

    Viongozi wa nchi wanachama katika jumuiya ya BRICS unayojumuisha nchi tano za Russia, Brazil, China, India na Afrika Kusini wamekutana katika mji mkuu wa Brazil, Brasilia. Mkutano huo umefanyika katika siku za tarehe 13 na 14 na ulilenga kupanua zaidi ushirikiano wa masuala ya kifedha na kiuchuni baina ya nchi wanachama na kuleta mabadiliko katika muundo wa sasa wa kimataifa.

  • Korea Kaskazini: Marekani na Korea Kusini zikifanya maneva ya kijeshi tutajibu

    Korea Kaskazini: Marekani na Korea Kusini zikifanya maneva ya kijeshi tutajibu

    Nov 14, 2019 03:55

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo jipya kwa viongozi wa Marekani kwamba, iwapo nchi hiyo kwa kushirikiana na Korea Kusini zitafanya maneva ya kijeshi, basi Pyongyang itajibu hatua hizo za uhasama.

  • UN yaitaka US iiondolee Iran vikwazo kama ilivyoagizwa na ICJ

    UN yaitaka US iiondolee Iran vikwazo kama ilivyoagizwa na ICJ

    Nov 13, 2019 23:13

    Umoja wa Mataifa umeitaka Marekani iheshimu agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu la kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vinavyohusiana na bidhaa za kibinadamu.

  • Rais wa Iraq ajibu uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo

    Rais wa Iraq ajibu uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo

    Nov 12, 2019 09:07

    Rais wa Iraq ametoa radiamali yake kwa taarifa ya uingiliaji ya Marekani kwa kusema: Mageuzi yanayotarajiwa huko Iraq kamwe hayapasi kuathiriwa na maamuzi kutoka nje.

  • Waziri Mkuu wa Sudan afanya mashauriano ili kuinasua nchi hiyo na vikwazo vya Marekani

    Waziri Mkuu wa Sudan afanya mashauriano ili kuinasua nchi hiyo na vikwazo vya Marekani

    Nov 12, 2019 08:40

    Waziri Mkuu wa Sudan amelazimika kuukimbilia Umoja wa Ulaya katika juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake uliosababishwa na vikwazo vya Marekani.

  • Araqchi:  Iran imepunguza uwajibikaji wake ili kuyalinda makubaliano ya JCPOA

    Araqchi: Iran imepunguza uwajibikaji wake ili kuyalinda makubaliano ya JCPOA

    Nov 12, 2019 08:34

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Kisiasa amesema kuwa lengo la Tehran kupunguza ahadi na uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo.

  • "Marekani inachochea maandamano katika nchi za Kiarabu kwa maslahi yake"

    Nov 12, 2019 04:41

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani inatumia maandamano yanayoshuhidiwa hivi sasa katika nchi kadhaa za Kiarabu kusukuma ajenda zake, na kuifanya Lebanon ishindwe kujisimamia yenyewe.

  • Indhari ya Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani kuhusu kusambaratika NATO

    Indhari ya Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani kuhusu kusambaratika NATO

    Nov 12, 2019 04:27

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ni maarufu kwa kuibua utata, angali anaendelea kukosoa vikali Muungano wa Kijeshi wa Atlantiki ya Kaskazini (NATO) . Trump hasa anawakosoa wanachama wa bara Ulaya katika muungano huo kwa kutotenga asilimia 2 ya Pato la Ndani la Nchi (GDP) kwa ajili ya gharama za kijeshi. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani nao sasa pia wanafuata nyayo za Trump katika kuukosoa muungano wa kijeshi wa NATO.

  • Sisitizo la jeshi la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Asia Magharibi

    Sisitizo la jeshi la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Asia Magharibi

    Nov 11, 2019 23:26

    Licha ya Rais Donald Trump kukariri mara chungu nzima kwamba, Washington itaondoa wanajeshi wake katika eneo la Asia Magharibi hususan katika nchi za Syria na Afghnaistan, lakini hali ya mambo ilivyo inaonyesha kuwa, Marekani imeazimia kubakisha na hata kuongeza idadi ya wanajeshi wake pamoja na zana za kijeshi katika eneo hili ikiwa ni katika kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kibabe.

  • Uturuki yamrejesha mwanachama wa ISIS nchini Marekani

    Uturuki yamrejesha mwanachama wa ISIS nchini Marekani

    Nov 11, 2019 07:54

    Uturuki imesema imemrejesha mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi yake ya Marekani, huku Ankara ikianza kuwarejesha makwao magaidi wa genge hilo la ukufurishaji iliowakamata.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS