Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rais Bashar Al Assad: Yumkini Marekani haijamuua Baghdadi, bali imemficha

    Rais Bashar Al Assad: Yumkini Marekani haijamuua Baghdadi, bali imemficha

    Nov 11, 2019 07:50

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ametilia shaka madai ya Marekani kuwa imemuua kinara wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr Baghdadi, na kusisitiza kwamba huenda kiongozi huyo wa ISIS amejificha au amefichwa sehemu fulani na serikali ya Washington.

  • Rais wa Ujerumani akosoa sera za kijuba za Marekani

    Rais wa Ujerumani akosoa sera za kijuba za Marekani

    Nov 11, 2019 03:35

    Siasa za kijuba na misimamo inayokiuka sheria za kimataifa ya Marekani imekuwa ikipingwa na kukosolewa na nchi nyingi duniani na hata washirika wa nchi hiyo barani Ulaya.

  • Russia yaonya kuhusu hatari ya ISIS nchini Afghanistan na uungaji mkono wa Marekani kwa kundi hilo

    Russia yaonya kuhusu hatari ya ISIS nchini Afghanistan na uungaji mkono wa Marekani kwa kundi hilo

    Nov 10, 2019 03:50

    Russia imeonya mara kadhaa kuhusu kuenea harakati za kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) nchini Afghanistan na kuongeza kuwa magaidi hao wakufurishaji wanaungwa mkono na Marekani.

  • Iran: Miungano ya Marekani inasababisha machafuko kote ulimwenguni

    Iran: Miungano ya Marekani inasababisha machafuko kote ulimwenguni

    Nov 09, 2019 10:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, miungano mbalimbali inayoundwa na Marekani inasababisha machafuko katika kona zote za dunia na kuhatarisha usalama na amani ya kila eneo lenye miungano hiyo.

  • Korea Kaskazini: Mazungumzo yetu na Marekani yanakaribia kuvunjika kikamilifu

    Korea Kaskazini: Mazungumzo yetu na Marekani yanakaribia kuvunjika kikamilifu

    Nov 09, 2019 04:32

    Mkuu wa kitengo cha masuala ya Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini, ameelezea uwezekano wa kuvunjika kikamilifu mazungumzo kati ya Washington na Pyongyang, kutokana na ukwamishaji mambo wa Marekani.

  • Hatua ya Nne ya Iran; Kufeli 'Mashinikizo ya Juu Zaidi' ya Marekani

    Hatua ya Nne ya Iran; Kufeli 'Mashinikizo ya Juu Zaidi' ya Marekani

    Nov 08, 2019 23:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: 'Marekani ni kinara wa shari, mwanzilishi na muungaji mkono wa ugaidi duniani."

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Hasira ya Wairani dhidi ya Marekani ni ishara ya kukomaa kiakili

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Hasira ya Wairani dhidi ya Marekani ni ishara ya kukomaa kiakili

    Nov 08, 2019 09:37

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa tangazo la hasira na chuki ya wananchi wa Iran dhidi ya ubeberu wa kimataifa unaoongozwa na Marekani ni kielelezo halisi cha umakini na kuwa macho mbele ya hatari kubwa inayotishia ubinadamu, amani na haki za binadamu.

  • Russia yasisitiza kushindwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yasisitiza kushindwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Nov 08, 2019 04:59

    Russia ikiwa mmoja wa wanachama wa kundi la 4+1 daima imekuwa ikisisitiza kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kukosoa vikali hatua ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya upande mmoja, baada ya yenyewe kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa, ikisema kuwa huo ni ukiukaji wa wazi wa Washington wa mapatano hayo.

  • Rais Emmanuel Macron: Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Rais Emmanuel Macron: Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Nov 08, 2019 04:48

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa sambamba na kuonyesha wasi wasi wake kuhusiana na iwapo Marekani itaendeleza ahadi zake katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO amesema kuwa, shirika hilo limekumbwa na kifo cha ubongo.

  • Ukosoaji wa Pakistan dhidi ya serikali ya Marekani

    Ukosoaji wa Pakistan dhidi ya serikali ya Marekani

    Nov 07, 2019 03:29

    Pakistan imeyakosoa vikali madai ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwamba, Islamabad haina uwezo wa kupambana na ugaidi na kuyataja matamshi hayo kuwa siyo ya kukubalika hata kidogo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS