Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Takwimu: Polisi wa Marekani huua raia elfu moja kwa risasi kila mwaka

    Takwimu: Polisi wa Marekani huua raia elfu moja kwa risasi kila mwaka

    Feb 15, 2019 11:54

    Takwimu mpya zilizotolewa hivi karibuni nchini Marekani zinaonyesha kwamba, kwa mwaka karibu watu 1000 huawa kwa kupigwa risasi na polisi wa nchi hiyo.

  • Kufeli mkutano wa Warsaw

    Kufeli mkutano wa Warsaw

    Feb 15, 2019 10:41

    Baada ya propaganda kubwa za wiki kadhaa zilizofanywa na Marekani kuhusu mkutano uliokuwa dhidi ya Iran wa Warsaw nchini Poland, hatimaye mkutao huo wa siku mbili ulimaliza kazi zake jana Alkhamisi bila ya mafanikio.

  • Trump: Ni kweli vitendo vya ukatili vimeongezeka nchini Marekani

    Trump: Ni kweli vitendo vya ukatili vimeongezeka nchini Marekani

    Feb 14, 2019 23:20

    Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kwamba jinai za ukatili nchini humo zimeongezeka maradufu.

  • Mwakilishi wa Trump: Hatuna ratiba yoyote ya kuanzisha vita na Iran

    Mwakilishi wa Trump: Hatuna ratiba yoyote ya kuanzisha vita na Iran

    Feb 13, 2019 23:12

    Mwakilishi wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran sambamba na kutoa tuhuma zao za kila siku dhidi ya Tehran amesema kuwa, nchi yake haina ratiba yoyote ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.

  • Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq

    Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq

    Feb 13, 2019 09:30

    Baada ya baadhi ya maeneo ya Iraq kudhibitiwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mnamo mwezi Juni 2014, Marekani iliimarisha uwepo wake ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu sambamba na kuweka askari wake katika kambi kadhaa za kijeshi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • Deni la taifa la Marekani lavunja rekodi, ni zaidi ya dola trilioni 22

    Deni la taifa la Marekani lavunja rekodi, ni zaidi ya dola trilioni 22

    Feb 13, 2019 04:04

    Wizara ya Fedha ya Marekani imeripoti kuwa, nchi hiyo inadaiwa dola trilioni 22, kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.

  • Wapalestina wazitaka nchi za Kiarabu zisusie mkutano wa Poland

    Wapalestina wazitaka nchi za Kiarabu zisusie mkutano wa Poland

    Feb 12, 2019 10:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametoa mwito kwa nchi za Kiarabu kususia mkutano wa Poland, ulioitishwa na kufadhiliwa na Marekani.

  • Hasira za Trump kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Hasira za Trump kwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 12, 2019 10:23

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiishambulia Iran kwa maneno makali iwe ni katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka 2016 au baada ya kuingia katika Ikulu ya White House Januari mwaka 2017 na hivyo kuendeleza mkondo wa kutakka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unaotawala hapa nchini.

  • Kongamano la Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Iran

    Kongamano la Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Iran

    Feb 12, 2019 10:13

    Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kongamano dhidi ya Iran ambalo linaandaliwa kwa pamoja na Marekani pamoja na Poland mjini Warsaw halitaweza kupunguza nguvu za Jamhuri ya Kiislamu au kubadilisha sera zake.

  • Trump atishia kulipigia kura ya veto azimio la Kongresi dhidi ya Saudia

    Trump atishia kulipigia kura ya veto azimio la Kongresi dhidi ya Saudia

    Feb 12, 2019 04:27

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kupiga kura ya veto dhidi ya azimio lolote la Kongresi ya nchi hiyo linaloitaka serikali yake kukomesha misaada ya kijeshi kwa muungano wa Saudi Arabia katika vita dhidi ya taifa la Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS