-
Venezuela yanasa shehena ya silaha za Marekani
Feb 06, 2019 03:56Vyombo vya usalama nchini Venezuela vimetangaza habari ya kunasa shehena kubwa ya silaha zinazoripotiwa kutokea Marekani, katika hali ambayo Rais Donald Trump amesisitiza kuwa serikali ya Washington itawaunga mkono kikamilifu wapinzani wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini, katika jitihada zao za kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro.
-
Iraq: Hatutaruhusu ardhi yetu itumike kuihujumu nchi yeyote ile
Feb 06, 2019 03:37Waziri Mkuu wa Iraq amekosoa matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump aliyedai kuwa wanajeshi wa Marekani wataendelea kuwepo nchini Iraq kwa shabaha ya kuipiga darubini Iran.
-
Rais Rouhani: Zama za Marekani kuitawala Iran haziwezi kurejea
Feb 05, 2019 23:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani misimamo ya uhasama ya Marekani kwa Iran tangu ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu miaka 40 iliyopita, amesema zama za Washington kuishurutisha na kuitawala Iran zimekwisha na katu haziwezi kurejea.
-
Iran: Marekani inawahamishia magaidi wa DAESH (ISIS) Afghanistan
Feb 05, 2019 12:29Msaidizi na Mshauri Mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ina taarifa za uhakika kuhusu hatua inazochukua Marekani za kuwahamishia magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) nchini Afghanistan.
-
Uungaji mkono wa kila upande wa Marekani na Saudi Arabia kwa kundi la al-Qaeda
Feb 05, 2019 09:41Kanali ya televisheni ya CCN imetangaza katika ripoti yake kwamba, Saudi Arabia imekuwa ikilipatia kundi la kigaidi la al-Qaeda silaha ambazo Marekani imeupatia muungano wa Kiarabu katika vita dhidi ya Yemen.
-
CNN: Saudi Arabia imetuma silaha za Marekani kwa kundi la al Qaida huko Yemen
Feb 05, 2019 04:09Televisheni ya CNN ya Marekani imefichua kuwa silaha zilizotumwa na nchi hiyo kwa muungano wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen zimekabidhiwa kwa makundi ya kigaidi hususan al Qaida.
-
Hizbullah ya Iraq: Muqawama utakata mikono itakayoichokoza Iran
Feb 05, 2019 00:15Msemaji wa brigedi za harakati ya Hizbullah ya Iraq amejibu matamshi ya karibuni ya Rais wa Marekani kwa kusema kuwa: Trump asahau njonzi ya kutaka kuishambulia kijeshi Iran kutokea Iraq kwa sababu muqawama wa Iraq utakata mikono ya mchokozi wa aina hiyo.
-
Pendekezo la Rais Maduro la kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati nchini Venezuela
Feb 04, 2019 04:13Venezuela ambayo ni nchi ya Latin America kwa miaka kadhaa sasa imekuwa ikikabiliwa na machafuko kutokana na kupungua bei ya nishati ya mafuta katika soko la dunia.
-
Mtandao wa Kijasusi wa utawala wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran
Feb 03, 2019 21:35Mtandao mmoja wa kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel umeashiria kuzinduliwa kombora jipya la Iran na kukiri kuwa: "Kwa mtazamo wa kijeshi, Iran sasa inaishinda Israel na Marekani."
-
Kujibu mapigo Russia; amri ya Putin ya kusimamishwa utekelezaji wa mkataba wa silaha za nyuklia wa INF
Feb 03, 2019 04:23Tarehe 20 Oktoba 2018, katika mwendelezo wa sera zake kuu za kujitoa kwenye mikataba na makubaliano ya kimataifa, Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza kuwa nchi yake itajiondoa pia kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati, kwa kifupi INF.