Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Utafiti: Akthari ya Wamarekani wanasema nchi inaelekea pabaya

    Utafiti: Akthari ya Wamarekani wanasema nchi inaelekea pabaya

    Feb 02, 2019 21:57

    Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa aghalabu ya wananchi wa Marekani wanahisi kuwa nchi yao iko katika mkondo mbaya, huku wengi wao wakikata tamaa.

  • Hashdu sh-Sha'abi yawapiga marufuku askari wa Marekani kufanya doria Mosul, Iraq

    Hashdu sh-Sha'abi yawapiga marufuku askari wa Marekani kufanya doria Mosul, Iraq

    Feb 02, 2019 04:42

    Naibu Kamanda wa Operesheni wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi katika mkoa wa nchini Iraq Nineveh (Nainawa), kaskazini mwa Iraq amesema kuwa, askari wa harakati hiyo wamewazuia askari wa Marekani kufanya doria mjini Mosul, ambao ni makao makuu ya mkoa huo.

  • Kukwama mazungumzo ya kibiashara baina ya Marekani na China

    Kukwama mazungumzo ya kibiashara baina ya Marekani na China

    Feb 02, 2019 03:52

    Rais wa Marekani, Donald Trump ameendeleza siasa zake za kujikumbizia kila kitu upande wake kwa madai ya kulinda uchumi wa Marekani na kwa mara nyingine ametishia kuziwekea ushuru mpya bidhaa za China zinazoingia nchini humo licha ya kwamba Beijing ni mshirika mkubwa wa kibiashara wa Washington.

  • Zarif: Mapatano yoyote na Marekani hayana thamani ya hata ya wino juu ya karatasi

    Zarif: Mapatano yoyote na Marekani hayana thamani ya hata ya wino juu ya karatasi

    Feb 01, 2019 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa Marekani wa kujitoa kwa muda katika Mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF) kati yake na Russia unafikisha ujumbe kwamba mkataba wowote ule na serikali ya Marekani hata uliopasishwa na Congress, hauna thamani ya hata ya wino juu ya karatasi.

  • Marekani yajiondoa rasmi 'kwa muda' katika mkataba wa INF

    Marekani yajiondoa rasmi 'kwa muda' katika mkataba wa INF

    Feb 01, 2019 10:45

    Serikali ya Marekani imetangaza rasmi kusimamisha kwa muda utekelezaji wa mkataba wa Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF).

  • Marekani yashindwa kuzuia uteuzi wa Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN

    Marekani yashindwa kuzuia uteuzi wa Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN

    Jan 31, 2019 22:51

    Jarida la Marekani la Foreign Policy limefichua kwamba, kabla ya kuteuliwa Michelle Bachelet kuwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Marekani ilifanya jitihada kubwa za kuzuia uteuzi huo lakini jitihada hizo zimeambulia patupu.

  • Onyo la Russia kuhusu kuingilia kijeshi Marekani mgogoro wa Venezuela

    Onyo la Russia kuhusu kuingilia kijeshi Marekani mgogoro wa Venezuela

    Jan 30, 2019 09:24

    Matukio ya kisiasa yaliyojiri karibuni katika nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta ya Venezuela na makabiliano yanayozidi kupamba moto baina ya wapinzani na serikali ya mrengo wa kushoto ya nchi hiyo yameingia kwenye awamu nyeti na hasasi.

  • Ripoti: Kiwango cha ufisadi kimekithiri Marekani katika utawala wa Trump

    Ripoti: Kiwango cha ufisadi kimekithiri Marekani katika utawala wa Trump

    Jan 29, 2019 21:41

    Ripoti ya shirika la kutathmini viwango vya ufisadi duniani la Transparency International imesema kiwango cha ufisadi na visa vya rushwa vimeogezeka pakubwa nchini Marekani tangu Rais Donald Trump aingie madarakani.

  • Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia  Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani

    Kuongezeka harakati za kisiasa za Russia Asia Magharibi; kukabiliana na hatua za Marekani

    Jan 27, 2019 04:38

    Katika miaka ya karibuni Russia imezidisha pakubwa harakati zake katika eneo la Asia Magharibi na kaskazini mwa Afrika. Nukta muhimu kuhusu jitihada hizo za Russia ni kuimarisha uwepo wake wa kijeshi huko Syria tangu Septemba mwaka 2015 kwa lengo la kupambana na makundi ya kigaidi na kuiunga mkono serikali halali ya Syria.

  • Hizbullah ya Lebanon: Daima Uingiliaji wa Marekani umekuwa na madhara kwa mataifa mengine

    Hizbullah ya Lebanon: Daima Uingiliaji wa Marekani umekuwa na madhara kwa mataifa mengine

    Jan 26, 2019 23:06

    Mkuu wa mrengo wa kisiasa wenye mafungamano na Harakati ya muqawama katika bunge la Lebanon umelaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, uingiliaji wa Washington daima umekuwa na madhara kwa mataifa mengine na ni doa ambalo linapaswa kusafishwa katika historia ya mwanadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS