Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marzieh Hashemi atahadharisha kuhusu uwekwaji kizuizini watu wasio na hatia nchini Marekani

    Marzieh Hashemi atahadharisha kuhusu uwekwaji kizuizini watu wasio na hatia nchini Marekani

    Jan 26, 2019 10:44

    Mwandishi wa habari na mtangazaji wa kanali ya televisheni ya Press TV ametahadharisha kuhusu kutokuwepo uadilifu katika mfumo wa vyombo vya mahakama vya Marekani na uwekwaji kizuizini nchini humo watu wasio na hatia yoyote.

  • Zarif: Iran inaliunga mkono taifa la Venezuela dhidi ya njama za Marekani

    Zarif: Iran inaliunga mkono taifa la Venezuela dhidi ya njama za Marekani

    Jan 26, 2019 01:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela, amesema Iran inaliunga mkono taifa hilo la Amerika ya Latini na itasimama nalo dhidi njama ya mapinduzi inayopikwa na Marekani.

  • Mapinduzi ya kisiasa ya Marekani dhidi ya Rais Maduro wa Venezuela

    Mapinduzi ya kisiasa ya Marekani dhidi ya Rais Maduro wa Venezuela

    Jan 25, 2019 10:10

    Tangu kuingia madarakani nchini Venezuela serikali ya mrengo wa kushoto hapo mwaka 1999 hadi sasa, Marekani daima imekuwa ikifanya juhudi za kudhoofisha na kuingo'a mamlakani serikali hiyo.

  • Dunia yalaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela

    Dunia yalaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela

    Jan 25, 2019 01:09

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na nchi nyingine duniani kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela.

  • Waziri wa Ulinzi Venezuela: Marekani ndio inapanga mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Maduro

    Waziri wa Ulinzi Venezuela: Marekani ndio inapanga mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Maduro

    Jan 25, 2019 01:06

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amesema kuwa, Marekani na washirika wa White House ndio wanatekeleza mapinduzi ya kijeshi na vita vya kiuchumi dhidi ya nchi hiyo.

  • Viongozi wa Russia wakosoa uingiliaji mambo wa Marekani nchini Venezuela

    Viongozi wa Russia wakosoa uingiliaji mambo wa Marekani nchini Venezuela

    Jan 24, 2019 04:42

    Viongozi kadhaa wa kisiasa nchini Russia wamekosoa uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kumtambua kiongozi wa chama cha upinzani nchini Venezuela, Juan Guaido kuwa rais wa muda wa nchi hiyo.

  • Waziri wa Ulinzi wa Venezuela: Hatumtambui Juan Guaidó kuwa rais

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela: Hatumtambui Juan Guaidó kuwa rais

    Jan 24, 2019 04:38

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amesisitiza kwamba, jeshi la nchi hiyo halimuungi mkono Juan Guaidó aliyejitangaza kuwa rais mpya.

  • Bi. Hashemi aachiliwa huru, asisitiza maandamano dhidi ya Marekani

    Bi. Hashemi aachiliwa huru, asisitiza maandamano dhidi ya Marekani

    Jan 24, 2019 01:11

    Hatimaye utawala wa Marekani imemuachulia huru bila kumfugulia mashtaka mtangazaji wa Press TV, Bi. Marzieh Hashemi baada ya kumshikilia kizuizini kinyume cha sheria kwa muda wa siku 11.

  • Mkuu wa IRIB: Kuanza kwa hamasa muongo wa tano wa Mapinduzi ya Kiislamu mwanzo wa kusambaratika Marekani

    Mkuu wa IRIB: Kuanza kwa hamasa muongo wa tano wa Mapinduzi ya Kiislamu mwanzo wa kusambaratika Marekani

    Jan 24, 2019 00:36

    Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sherehe za mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu zitafanyika kwa hamasa zaidi kuliko miaka yote na kwamba, kuanza muongo wa tano wa Mapinduzi ya Kiislamu ni marhala na mwanzo wa kusambaratika Marekani.

  • Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Jan 24, 2019 00:35

    Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS