-
Palestina: Hatutaki tena msaada wowote wa Marekani
Jan 23, 2019 04:12Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema Wapalestina hawataki msaada wowote kutoka kwa Marekani, baada ya Washington kutangaza kuwa itapunguza kiwango cha msaada wake wa kibinadamu kwa wananchi wa Palestina.
-
Mgombea urais Marekani 2020: Ni vyema kufanyika mazungumzo na wapinzani badala ya kuwatangazia vita
Jan 22, 2019 23:18Mgombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema kwamba kufanyika mazungumzo na wapinzani wa Washington ni njia bora kuliko kufanya nao vita.
-
Harakati ya Nujabaa Iraq: Kuwekewa vikwazo muqawama ni matokeo ya kufeli njama za Marekani
Jan 22, 2019 11:41Kiongozi wa Baraza la Kisiasa la Muqawama wa Kiislamu la Harakati ya Nujabaa nchini Iraq amesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya muqawama, vinaonyesha kufeli njama za Washington katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Wimbi la kujiuzulu wafanyakazi wa serikali ya Marekani laongezeka
Jan 22, 2019 11:35Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuendelea kufunga shughuli za serikali ya Kuu na kuendelea kutowalipa mishahara wafanyakazi wake, imewafanya akthari ya wafanyakazi wa serikali hiyo kujiuzulu au kuomba kustaafu mapema.
-
Zarif: Marekani ingali inakiuka haki za Wamarekani weusi
Jan 22, 2019 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kumkamata, kumadhalilisha na kumzuilia kinyume cha sheria, mwandishi wa habari wa Press TV, Marzieh Hashemi imeweka bayana tena namna nchi hiyo inavyokiuka haki za kiraia za Wamarekani wenye asili ya Afrika.
-
Kutoshiriki Mogherini katika mkutano wa Warsaw, pigo jingine dhidi ya Marekani
Jan 22, 2019 03:41Katika fremu ya siasa zake za kuipiga vita Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Marekani imeanzisha jitihada kubwa za kuitisha mkutano wa kutafuta mwafaka wa kimataifa dhidi ya Iran.
-
Uwezekano wa kutimuliwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani waongezeka
Jan 21, 2019 08:59Ripoti mbalimbali kutoka Marekani zinasema kuwa, kuna uwezekano mkubwa kwamba, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo atatimuliwa kazi kutokana na kushadidi hitilafu ndani ya Ikulu ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya
Jan 20, 2019 04:13Maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani na Ulaya kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump.
-
Jeshi la Marekani lakiri: Iran ndiyo iliyopata ushindi katika matukio ya Mashariki ya Kati
Jan 19, 2019 21:42Jeshi la Marekani limekiri katika utafiti wake mpya kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo iliyopata ushindi katika matukio na mabadiliko yaliyojiri katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Wahajiri waendelea kuwa wahanga wa sera za kuwapiga vita wahamiaji za Trump
Jan 19, 2019 03:09Sera za kupiga vita wahajiri za Rais Donald Trump wa Marekani zimeendelea kutesa na kuwatia mashakani mamia ya watu baada ya polisi wa mpakani wa jimbo la New Mexico huko kusini magharibi mwa Marekani kuwatia nguvuni zaidi ya wahajiri 340 katika kituo cha mpakani cha Antelope Wells.