-
Mbunge Mwislamu wa Marekani ataka Washington isiiuzie silaha Saudia
Jan 18, 2019 23:34Mbunge wa kwanza mwanamke Mwislamu katika Kongresi ya Marekani ametoa wito wa kusitishwa uuzaji wa silaha kwa utawala wa Saudi Arabia.
-
Wall Street Journal: Ulaya haitajiunga na muungano dhidi ya Iran wa Marekani
Jan 18, 2019 12:30Gazeti mashuhuri la The Wall Street Journal la Marekani limeandika kuwa nchi za Ulaya hazitajiunga na muungano uliodhidi ya Iran unaotaka kuundwa na Marekani na wala hazitashiriki katika mkutano wa Warsaw huko Poland.
-
Russia yakanusha madai ya Marekani kwamba imeipatia Korea Kaskazini teknolojia ya makombora
Jan 18, 2019 12:08Balozi wa Russia nchini Korea Kaskazini amekanusha tuhuma za viongozi wa Marekani dhidi ya nchi yake kwamba Moscow imeipatia Pyongyang teknolojia ya makombora na kuongeza kwamba, tuhuma hizo ni za kuudhi kama ambavyo hazina msingi wowote.
-
Mtangazaji wa Press TV, Bi. Hashemi, kufikishwa mahakamani Marekani
Jan 18, 2019 04:46Mtangazaji wa Televisheni ya Press TV, Bi. Marzieh Hashemi, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa siku kadhaa na polisi ya Marekani, FBI, bila kufahamishwa sababu za kukamatwa kwake anatazamiwa kufikishwa mahakamani mjini Washington DC leo Ijumaa.
-
Mtangazaji wa Press TV anashikiliwa kinyume cha katiba Marekani
Jan 18, 2019 00:25Mtaalamu wa masuala ya sheria nchini Marekani amesema kukamatwa na kufungwa gerezani mwandishi habari na mtangazaji wa Televisheni ya Press TV, Bi. Marzieh Hashemi pasina kufahamishwa makosa yake ni kinyume cha katiba ya Marekani.
-
Kukamatwa mtangazaji wa Press TV; kashfa mpya ya ukiukaji wa haki za binadamu wa Marekani
Jan 17, 2019 04:50Marekani siku zote imekuwa ikijinadi kuwa moja ya nchi kuu zinazounga mkono uhuru na haki za binadamu duniani na mara kwa mara imekuwa ikizituhumu nchi nyingine kuwa zinakiuka haki za binadamu. Lakini kinyume chake, Marekani ni moja ya nchi zinazokiuka pakubwa haki za binadamu ulimwenguni.
-
Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao
Jan 17, 2019 04:18Ripoti ya Benki ya Standard Chartered imedokeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa China kuipiku Marekani na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani mwaka ujao wa 2020.
-
Rais Rouhani: Marekani inatiwa kiwewe na ustawi na maendeleo ya Iran
Jan 16, 2019 12:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wameamua kuliwekea taifa la Iran vikwazo vikubwa mno kwa sababu wana kiwewe na maendeleo, ustawi na uwezo wa taifa hili la Kiislamu.
-
Mwanasiasa Uturuki: Kufeli Saudia Yemen kumebatilisha njozi za US za kuanzisha Mashariki ya Kati mpya
Jan 16, 2019 01:13Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Uturuki amesema kuwa, kushindwa Saudi Arabia kuidhibiti Yemen katika vita vyake dhidi ya nchi hiyo, kumebatilisha ndoto za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati mpya.
-
Marekani na njama zake chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jan 15, 2019 04:35Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchi Uturuki amesema kuwa, kikao cha Marekani cha kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko nchini Poland, kimepangwa kufanyika kupitia njama chafu za White House kwa ajili ya kuibua mifarakano kati ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati na kufunika mgogogro unaonedelea kufukuta ndani ya Marekani.