-
Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake
Jan 14, 2019 23:11Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itachukua hatua ya lazima na mwafaka mkabala na kitendo chochote kile cha kiuadui ambacho kitakuwa dhidi ya maslahi ya kitaifa ya Iran.
-
Uturuki yasema haibabaishwi na vitisho vya Trump
Jan 14, 2019 23:11Waziri wa Mambo ya Nje ya Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema nchi hiyo haibabaishwi wala kutiwa kiwewe na kauli ya vitisho ya Rais Donald Trump kwamba Marekani itausabababishia matatizo uchumi wa Ankara.
-
Wamarekani wamlaumu Trump kwa kufungwa taasisi za serikali ya nchi hiyo
Jan 14, 2019 12:07Aghalabu ya wananchi wa Marekani wamesema kuwa Rais Donald Trump ndiye anayepaswa kubebeshwa dhima ya kufungwa kwa taasisi za serikali nchini humo tokeo mwezi uliopita hadi sasa.
-
Tishio kali la Trump dhidi ya Uturuki
Jan 14, 2019 09:42Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza hapo tarehe 19 mwezi Disemba mwaka jana uamuzi wa kuondoa askari vamizi wa nchi hiyo huko Syria, baadhi ya wachambuzi wa mambo waliuchukulia uamuzi huo kuwa sehemu ya juhudi zake za kutaka kuiridhisha Uturuki.
-
Utafiti: Uchafuzi wa hali ya hewa duniani umekithirisha kuharibika kwa mimba
Jan 13, 2019 04:14Utafiti mpya umebainisha kuwa, uchafuzi wa hali ya hewa duniani umepelekea kuongezeka idadi ya mimba kuharibika au wanawake kujifungua kabla ya wakati.
-
Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA
Jan 13, 2019 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha uvumi kwamba Tehran imejiondoa katika makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA.
-
Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA
Jan 12, 2019 04:43Makubaliano ya nyuklia, yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni makubaliano muhimu sana katika uga wa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. Lakini uamuzi iliochukuliwa na Marekani mnamo mwezi Mei 2018 wa kujitoa kwenye JCPOA, ulikuwa hatua hasi iliyotekelezwa kwa nia ya kuyasambaratisha makubaliano hayo.
-
Zarif: Kongamano lijalo la Marekani dhidi ya Iran huko Poland ni sarakasi
Jan 12, 2019 04:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mkutano wa Marekani na waitifaki wake dhidi ya Iran unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao katika mji mkuu wa Poland, Warsaw ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza na sarakasi za Wasington.
-
Russia yatilia shaka tangazo la Marekani la kuanza kuondoa askari wake Syria
Jan 11, 2019 12:37Russia imetilia shaka tamko la Marekani kwamba imeanza mchakato wa kuondoa vikosi vyake nchini Syria.
-
Marekani; sababu kuu ya ukosefu wa amani katika Mashariki ya Kati
Jan 10, 2019 21:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kadiri Wamarekani watakavyoondoka haraka nchini Syria ndivyo itakavyokuwa bora kwa wananchi wa nchi hiyo.