Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ubadhirifu mkubwa Marekani, kila mwaka Idara ya Hazina inalipa dola bilioni 100 kwa watu hewa

    Ubadhirifu mkubwa Marekani, kila mwaka Idara ya Hazina inalipa dola bilioni 100 kwa watu hewa

    Feb 09, 2025 07:10

    Elon Musk, Mkuu wa Ofisi ya Ufanisi wa Serikali ya Marekani (DOGE) amesema kuwa, Idara ya Hazina ya nchi hiyo imegubikwa na ubadhirifu mkubwa na kwamba kila mwaka inalipa watu hewa dola bilioni 100 za Kimarekani.

  • Waafrika Kusini 'weupe' wakataa 'ofa' ya kuwa wakimbizi Marekani

    Waafrika Kusini 'weupe' wakataa 'ofa' ya kuwa wakimbizi Marekani

    Feb 09, 2025 03:42

    Raia wa Afrika Kusini wenye asili ya Uholanzi na nchi nyingine za Ulaya wamepuuzilia mbali mwito wa Rais Donald Trump, wa kwenda kuwa wakimbizi nchini Marekani, kwa madai ya kubaguliwa nchini Afrika Kusini.

  • Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon

    Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon

    Feb 08, 2025 04:33

    Rais wa Lebanon amesisitiza katika mazungumzo na Mjumbe wa Marekani kuwa amani itarejea kusini mwa Lebanon iwapo jeshi la utawala wa Kizayuni litaondoka katika eneo hilo.

  • Baqaei: Marekani imezilenga taasisi za kimataifa

    Baqaei: Marekani imezilenga taasisi za kimataifa

    Feb 08, 2025 04:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Uraibu wa Marekani wa kutumia sheria nje ya mipaka yake, sasa umezilenga taasisi za kimataifa.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima

    Feb 07, 2025 07:17

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mkutano na makamanda na wafanyakazi wa Kikosi cha Anga na cha Ulinzi wa Anga vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima.

  • Kamanda Salami wa IRGC : Hatutasalimu amri mbele ya tishio lolote

    Kamanda Salami wa IRGC : Hatutasalimu amri mbele ya tishio lolote

    Feb 07, 2025 04:26

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema nguvu za Iran na historia yake pana inaifanya isiweze kutetereshwa na mashinikizo ya nje.

  • Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani

    Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani

    Feb 07, 2025 04:25

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, taifa hilo halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa na maajinabi.

  • Trump aiwekea vikwazo ICC kwa kuchunguza jinai za Israel, Marekani

    Trump aiwekea vikwazo ICC kwa kuchunguza jinai za Israel, Marekani

    Feb 07, 2025 04:23

    Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini dikrii (amri ya utendaji) ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwa kile alichokiita uchunguzi usio na msingi dhidi ya Marekani na muitifaki wake wa karibu, Israel, kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza.

  • Donald Trump na kuanza tena sera iliyofeli ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Donald Trump na kuanza tena sera iliyofeli ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Feb 06, 2025 08:57

    Jumanne ya Februari 4, 2025, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini hati ya utendaji ili kuendeleza sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran na kudai kwamba, "Yuko tayari kuzungumza na rais wa Iran."

  • Utawala wa Israel wajitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Utawala wa Israel wajitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Feb 06, 2025 07:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa utawala huo unajitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS