Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran yamhutubu Trump: Mashinikizo mengine ya juu, kushindwa tena US

    Iran yamhutubu Trump: Mashinikizo mengine ya juu, kushindwa tena US

    Feb 05, 2025 09:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, duru mpya ya kutekeleza sera ya "mashinikizo ya juu" ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu itapelekea kushindwa tena Washington.

  • Lavrov: Sera ya 'Marekani Kwanza' inatoa mwangwi wa kaulimbiu ya Hitler ya 'Ujerumani iko juu ya wote'

    Lavrov: Sera ya 'Marekani Kwanza' inatoa mwangwi wa kaulimbiu ya Hitler ya 'Ujerumani iko juu ya wote'

    Feb 05, 2025 02:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov ametahadharisha kuwa, sera ya Trump ya ‘Marekani Kwanza’ ina mfanano wa kutatanisha na kaulimbiu ‘Ujerumani iko juu ya wote’ iliyotumiwa na Wanazi kuthibitisha ukuu na kuwa bora kitaifa kuliko wengine.

  • Afrika Kusini yamuonya Trump; Tutasitisha mauzo ya madini kwa Marekani

    Afrika Kusini yamuonya Trump; Tutasitisha mauzo ya madini kwa Marekani

    Feb 04, 2025 23:11

    Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.

  • WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi

    WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi

    Feb 04, 2025 07:02

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesisitiza kuwa shirika hilo haliegemei upande wa nchi yoyote mwanachama na kwamba limeanzishwa kwa ajili ya kuhudumia nchi zote na watu wote.

  • Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump

    Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump

    Feb 04, 2025 05:40

    Kwa kuanza muhula wa pili wa urais wa Donald Trump, pamoja na vitisho na hatua za serikali yake dhidi ya waungaji mkono wa Palestina, mashinikizo dhidi ya watu hao na harakati za ndani ya nchi hiyo pia zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.

  • Sheikh Naim Qassem: Maziko rasmi ya Shahidi Hassan Nasrullah yatafanyika Lebanon Februari 23

    Sheikh Naim Qassem: Maziko rasmi ya Shahidi Hassan Nasrullah yatafanyika Lebanon Februari 23

    Feb 03, 2025 02:24

    Mazishi ya kiongozi wa muda mrefu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah yatafanyika Februari 23, miezi kadhaa tangu alipouawa shahidi katika shambulio la kigaidi la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.

  • Karibu nusu ya Wadenmark wanaamini Marekani ni tishio kwa nchi yao

    Karibu nusu ya Wadenmark wanaamini Marekani ni tishio kwa nchi yao

    Jan 31, 2025 23:00

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na Taasisi ya Utafiti ya UGO ya nchini Uingereza yameonyesha kuwa asilimia 46 ya wananchi wa Denmark wanaamini kuwa Marekani ni tishio kuu kwa nchi yao.

  • Da Silva: Tutalipiza kisasi dhidi ya ushuru wa Trump

    Da Silva: Tutalipiza kisasi dhidi ya ushuru wa Trump

    Jan 31, 2025 09:59

    Rais wa Brazil ametangaza kuwa: "Iwapo Donald Trump atatoza ushuru kwa bidhaa za Brazil, tutachukua hatua sawa za kulipizia kisasi."

  • Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC

    Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC

    Jan 30, 2025 23:19

    Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni jibu la utoaji vitisho linalolenga kuiadhibu mahakama hiyo kwa uamuzi wake wa kutoa hati za kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo wa Kizayuni Yoav Gallant.

  • Maelfu waandamana Washington kupinga sera za uhamiaji za Trump

    Maelfu waandamana Washington kupinga sera za uhamiaji za Trump

    Jan 29, 2025 07:20

    Maelfu ya watu huko Marekani wamefanya maandamano nje ya Ikulu ya White House mjini Washington DC, kupinga mpango wa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump wa kusimamisha ufadhili wa serikali, pamoja na sera zake tata za uhamiaji.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS