Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Waandamanaji washambulia ubalozi wa Marekani Kinshasa, waliouawa Goma wapindukia mia moja

    Waandamanaji washambulia ubalozi wa Marekani Kinshasa, waliouawa Goma wapindukia mia moja

    Jan 29, 2025 03:51

    Sambamba na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), raia wa nchi hiyo wameshambulia ubalozi wa Marekani na nchi nyingine kadhaa za Magharibi mjini Kinshasa na kuchoma moto baadhi ya ofisa za balozi hizo wakipinga uingiliaji kati wa nchi hizo katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Umoja wa Ulaya dhidi ya Marekani; Kaja Kallas asisitiza kushikama nchi za Ulaya

    Umoja wa Ulaya dhidi ya Marekani; Kaja Kallas asisitiza kushikama nchi za Ulaya

    Jan 28, 2025 23:57

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa kuna ulazima wa kushikamana nchi za Ulaya mkabala wa Marekani.

  • Huduma mpya za Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Huduma mpya za Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jan 28, 2025 23:05

    Katika siku za mwanzo za muhula wake wa pili wa uongozi, Donald Trump, rais mpya wa Marekani, kwa mara nyingine tena amefuata njia ile ile aliyopitia katika muhula wa kwanza wa uongozi wake. Katika muhula wa kwanza, Trump alitoa uungaji mkono mkubwa na ambao haujashuhudiwa kwa utawala wa Kizayuni na kuchukua hatua mpya sambamba na kuiunga mkono Israel na kuwapinga Wapalestina. Vitendo na misimamo hii imekutana na majibu chanya kutoka Tel Aviv.

  • Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel

    Jan 28, 2025 04:33

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.

  • Kwa nini Trump hastahamili kuwepo kwa wahamiaji Waislamu huko Marekani?

    Kwa nini Trump hastahamili kuwepo kwa wahamiaji Waislamu huko Marekani?

    Jan 27, 2025 23:23

    Moja ya amri tisa za Donald Trump katika siku ya kwanza ya uongozi wake ni kupitiwa upya sheria ya kurejesha marufuku ya Waislamu kuingia Marekani, suala ambalo iwapo litaidhinishwa na kutekelezwa, litakuwa na madhara makubwa kwa wahamiaji Waislamu nchini Marekani na hata waombaji visa Waislamu.

  • Uroho wa Trump katika muhula wa pili wa urais wake

    Uroho wa Trump katika muhula wa pili wa urais wake

    Jan 27, 2025 01:11

    Rais Donald Trump wa Marekani ameanza muhula wake wa pili wa uongozi huku akiweka hadharani uroho wake wa kupora ardhi, biashara na fedha za mataifa mengine ambapo ametangaza wazi azma yake ya kutaka kunyakua na kuunganisha ardhi za nchi huru na Marekani na pia kuhodhi kandarasi zenye faida kubwa kutoka kwa washirika wa Washington.

  • Marekani kuipa Israel mabomu 1,800 aina ya MK-84

    Marekani kuipa Israel mabomu 1,800 aina ya MK-84

    Jan 26, 2025 22:56

    Washington imesema mabomu 1,800 ya MK-84 yaliyohifadhiwa Marekani yatasafirishwa na kupelekewa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku chache zijazo.

  • Brazil yaishutumu US baada ya wahajiri waliofukuzwa kuwasili wakiwa wamefungwa pingu

    Brazil yaishutumu US baada ya wahajiri waliofukuzwa kuwasili wakiwa wamefungwa pingu

    Jan 26, 2025 22:54

    Serikali ya Brazil imeeleza kughadhabishwa kwake baada ya makumi ya wahamiaji waliofukuzwa kutoka Marekani kuwasili kwa ndege wakiwa wamefungwa pingu, na kusema kuwa ni "kupuuzwa waziwazi" kwa haki zao.

  • "Marekani ni aina mbaya zaidi ya Uistikbari", andiko jipya kwenye ukurasa wa X wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Jan 26, 2025 08:32

    Akaunti ya mtandao wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya khamenei.ir imetoa mjibizo kwa lugha ya Kihispania yenye hashtag GolfoDeMéxico kujibu hatua ya Marekani ya kulibadilsha jina Ghuba ya Mexico.

  • Mashirika ya haki za binadamu yatahadharisha kuhusu amri ya Trump ya kuwazuia Waislamu kuingia Marekani

    Mashirika ya haki za binadamu yatahadharisha kuhusu amri ya Trump ya kuwazuia Waislamu kuingia Marekani

    Jan 26, 2025 03:37

    Wanaharakati wa haki za kiraia wameitaja amri mpya ya kiutendaji iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani inayowazuia raia wa nchi za Kiislamu kuingia Marekani kuwa ina taathira kubwa zaidi kuliko kile kilichoshuhudiwa mwaka 2017 na katika awamu ya kwanza ya serikali yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS