-
Trump: Dola bilioni 600 inazotaka Saudia kuwezeka Marekani hazitoshi
Jan 24, 2025 23:27Rais Donald Trump ametoa wito kwa Saudi Arabia kuongeza kiwango cha uwekezaji wake nchini Marekani hadi dola trilioni moja.
-
Ujio wa Trump; Marekani yawakamata na kuwafukuza mamia ya wahamiaji
Jan 24, 2025 23:26Katibu wa Habari wa Ikulu ya White House ya Marekani amefichua kuwa, katika wiki ya kwanza ya urais wa Donald Trump, wahamiaji haramu 538 wamekamatwa na kuzuiliwa, huku mamia ya wengine wakifukuzwa nchini.
-
Ansarullah ya Yemen: Marekani haina haki ya kuzihukumu nchi zingine
Jan 24, 2025 05:49Harakati ya Ansarullah ya Yemen iimetoa radiamali kwa hatua ya Marekani ya kuiweka Yemen katika orodha ya magaidi na kubainisha kwamba, Washington ambayo inahusika na mauaji ya Wapalestina na wasio na hatia haina haki ya kuzihukumu nchi zingine.
-
Trump akosolewa kwa kuirejesha Ansarullah katika 'orodha ya magaidi'
Jan 23, 2025 04:19Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamekosoa vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kuanzisha mchakato wa kuirejesha Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha ya Washington ya makundi ya 'kigaidi'.
-
Mashirika ya haki yaonya; Trump atarejesha marufuku dhidi ya Waislamu
Jan 23, 2025 04:07Mashirika ya kutetea haki za kiraia nchini Marekani yameonya kuwa, amri ya utendaji iliyosainiwa na Rais Donald Trump siku ya Jumatatu inaweka msingi wa kurejesha marufuku ya wasafiri kutoka nchi zenye Waislamu na Waarabu wengi kuingia Marekani.
-
WHO yasikitishwa na Marekani kujiondoa kwenye shirika hilo
Jan 21, 2025 23:19Shirika la Afya Duniani (WHO) limeelezea masikitiko yake kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuiondoa nchi hiyo kwenye shirika hilo. WHO imesema inatumai serikali mpya ya Washington itaangalia upya uamuzi wake huo.
-
Trump aapa kuweka hadharani nyaraka za siri za mauaji ya kina Kennedy na Martin Luther King Jr.
Jan 20, 2025 23:04Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameahidi kuweka hadharani nyaraka za serikali zilizoainishwa kuwa za siri zaidi, zinazohusiana na mauaji ya Rais John F. Kennedy, Seneta Robert F. Kennedy, na mwanaharakati wa haki za kiraia Martin Luther King Jr.
-
Mtandao wa Salon: Marekani na Israel Zinaficha Ukweli Kuhusu Vita vya Gaza
Jan 20, 2025 04:00Mwandishi wa habari mashuhuri wa Marekani ameeleza mbinu zinazotumiwa na Marekani na utawala ghasibu wa Israel kuficha jinai za Wazayuni katika vita vya Gaza.
-
Wakuu wa Amerika Kusini: Uamuzi wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jan 19, 2025 08:02Katika kipindi cha kukaribia kuanza awamu nyingine ya utawala wa Donald Trump kama Rais wa Marekani, wawakilishi na maafisa wa nchi mbalimbali za Amerika Kusini, katika tamko lao, wamebainisha wasiwasi wao kuhusu utekelezaji wa sera ya kufukuzwa wahamiaji kutoka nchi tofauti.
-
Canada: Tuko tayari kujibu vitisho vya ushuru vya Trump
Jan 18, 2025 07:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amesema kuwa nchi hiyo imejiandaa kujibu hatua yoyote ya Washington ya kuiwekea Canada ushuru mpya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada ameeleza haya siku chache kabla Rais mteule wa Marekani, Donald Trump hajaanza kazi rasmi katika Ikulu ya White House.