-
Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani
Nov 08, 2024 03:29Hatimaye mchuano mkali uliowaweka watu roho juu, wa kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024 uliofanyika Novemba 5, umemalizika na matokeo yake rasmi yametangazwa.
-
Baqaei: Mashinikizo haramu ya Marekani dhidi ya watu wa Iran yameendelea hadi leo
Nov 03, 2024 09:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani sera na mienendo ya kindumakuwili ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Al-Nujaba: Tutapiga kambi za US, ikiisaidia Israel kuishambulia Iraq
Nov 03, 2024 02:47Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq amesema, kundi hilo la Muqawama litalenga kambi na vituo vya kijeshi vya Marekani endapo Washington itatoa msaada wowote katika mashambulizi yanayoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iraq.
-
Kuendelea hatua na misimamo ya undumakuwili ya Marekani dhidi ya Iran
Nov 02, 2024 07:45Rais Joe Biden wa Marekani jana Ijumaa aliwatumia barua wakuu wa bunge la wawakilishi na seneti ambapo amerefusha kwa mwaka mmoja mwingine muda wa hali ya hatari kitaifa kuhusu Iran. Biden amechukua hatua hii katika miezi yake ya mwisho akiwa White House na kabla ya kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani tarehe 5 mwezi huu wa Novemba.
-
Marekani yajipanga kutuma idadi kubwa zaidi ya wanajeshi na zana za kivita Asia Magharibi
Nov 02, 2024 03:03Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetangaza mpango wa kutumwa wanajeshi zaidi wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Waungaji mkono wa Palestina wakatiza hotuba ya Harris
Oct 30, 2024 23:06Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wamekatiza hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Democratic, Kamala Harris wakati wa mkutano wake wa kampeni za uchaguzi wa rais huko Washington DC.
-
Wabotswana wapiga kura huku chama kilichotawala kwa miaka 58 kikiahidi 'mabadiliko'
Oct 30, 2024 09:08Wabotswana leo wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura kuchagua wabunge watakaomchagua rais, wakati chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) ambacho kimeiongoza nchi hiyo kwa miaka 58 kikitafuta ridhaa tena ya kubaki madarakani kwa muhula mwingine wa miaka mitano kwa kaulimbiu ya kuleta "mabadiliko".
-
Kushiriki Marekani kwa 70% katika jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 29, 2024 04:20Takwimu rasmi za makadirio zilizochapishwa zinaonyesha kuwa, Marekani imetoa zaidi ya dola bilioni 22 za silaha na misaada ya kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja tu uliopita.
-
Mwendelezo wa mashambulizi ya Marekani na Uingereza Yemen Magharibi
Oct 24, 2024 04:13Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi mengine makubwa huko Yemen Magharibi.
-
Trump aituhumu UK kwa kuingilia uchaguzi wa Marekani
Oct 23, 2024 22:48Mgombea wa urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amewasilisha malalamiko yake kuhusu madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani unaofanywa na chama tawala nchini Uingereza.