-
Yemen yashambulia kwa droni na makombora meli tatu ikiwemo ya Marekani kuunga mkono Ghaza
Jun 06, 2024 03:19Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetekeleza operesheni mbili mpya za mashambulio kwa lengo la kuwaunga mkono Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wanaohimili vita vya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, na operesheni ya tatu dhidi ya Marekani kujibu uchokozi wa nchi hiyo dhidi ya Yemen.
-
Polisi wa US wakamata waandamanaji 70 baada ya kuvamia ubalozi wa Israel, San Fransisco
Jun 04, 2024 03:47Polisi wa Marekani katika mji wa San Fransisco wamewakamata waandamanaji wapatao 70 wanaotetea na kuunga mkono Palestina baada ya kuingia kwenye ukumbi wa ubalozi mdogo wa utawala wa Kizayuni wa Israel ulioko kwenye mji huo.
-
Adhabu kwa wanachuo wa Marekani wanaounga mkono Palestina
Jun 03, 2024 03:41Makumi ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Chicago nchini Marekani wameondoka katika chuo hicho wakipinga hatua ya bodi ya wakurugenzi ya kukataa kutoa shahada za wanafunzi wanaounga mkono Palestina.
-
Sanders: Inasikitisha kuona Netanyahu anaalikwa kuhutubia Kongresi ya US
Jun 02, 2024 06:58Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amewakosoa vikali viongozi wa Kongresi ya nchi hiyo kwa kumualika 'mtenda jinai' Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhutubia kikao cha pamoja cha Baraza la Wawakilishi na Baraza la Seneti la Marekani.
-
Biden atangaza mpango wa kukomesha vita Ghaza, Netanyahu asisitiza vita vitaendelea
Jun 01, 2024 07:13Ofisi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu imesisitiza juu ya nia ya serikali ya Netanyahu ya kuendeleza mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza hadi itakapohakikisha malengo yote ya vita ya Tel Aviv yamefikiwa.
-
Yemen yaapa kutoa jibu la 'kuumiza mno' baada ya shambulio la US na UK kuua makumi ya watu
May 31, 2024 06:44Yemen imeapa kuwa itatoa jibu la "kuumiza mno" kwa mashambulizi yaliyofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya meneo kadhaa ya taifa hilo la Kiislamu, na kusababisha vifo vya watu wapatao 16 na kuwajeruhi wengine kadhaa.
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa wanachuo wa Marekani wanaotetea Palestina
May 31, 2024 03:58Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika barua aliyowaandikia wanachuo wenye utu wanaotetea wananchi wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani, ameonyesha mshikamano wake na maandamano ya wanachuo hao dhidi ya uzayuni na kuwataja kuwa sehemu ya mrengo wa muqawama.
-
Kiongozi Muadhamu awaambia wanachuo US: Mpo katika upande sahihi wa historia
May 30, 2024 03:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mwamko wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Marekani dhidi ya utawala katili wa Israel na kusisitiza kuwa, wanachuo hao wa US wamesimama katika upande sahihi wa historia.
-
Jeshi la Sudan lapuuzilia mbali mwito wa Marekani
May 30, 2024 03:35Jeshi la Sudan limepinga mwito wa Marekani wa kurejea kwenye meza ya mazungumzo kati ya jeshi hilo na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Msemaji: Mazungumzo ya kuondoa vikwazo dhidi ya Iran yanaendelea
May 27, 2024 23:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa mazungumzo ya kuondoa vikwazo dhidi ya Tehran yanaendelea.