-
Kiongozi Muadhamu: Israel ilifanya makosa, 'itaadhibiwa' kwa kushambulia ubalozi mdogo wa Iran
Apr 10, 2024 04:22Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Waziri wa Ulinzi wa serikali ya Obama: Waisraeli kwanza wanafyatua risasi, kisha wanauliza maswali!
Apr 07, 2024 23:14Waziri wa Ulinzi wakati wa utawala wa Barack Obama Rais mstaafu wa Marekani amesema kuwa haishangazi kwamba Waisraeli wamekiri makosa yao baada ya shambulio la hivi karibuni na mauaji dhidi ya watoa misaada wa kimataifa wa shirika la World Central Kitchen (WCK), kwa sababu kwa kawaida wao kwanza hupiga risasi na kisha huuliza maswali!
-
Kwa miongo saba, Marekani imeipatia Israel msaada wa dola bilioni 300
Apr 07, 2024 03:34Jopo la wanafikra la Baraza la Uhusiano wa Nje la Marekani limetoa ripoti kuhusu kiwango cha msaada wa karibu dola bilioni 300 ambazo Washington, ikiwa ndiye muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, imetoa katika muda wa miongo saba kuupatia utawala huo.
-
Msaada mpya wa silaha wa Marekani kwa Israel wa kufanyia mauaji makubwa zaidi ya kimbari ya Wapalestina
Apr 01, 2024 07:23Sambamba na juhudi zinazofanywa kimataifa kwa lengo la kusimamisha mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni; na mashinikizo yanayotolewa kwa utawala huo uhakikishe unaruhusu kuingizwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza, duru za habari za Marekani zimeripoti kuwa serikali ya Washington imeidhinisha kupatiwa Israel shehena mpya ya silaha za kisasa ili kuweza kuua idadi kubwa zaidi ya Wapalestina.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na Gaza yafanyika katika nchi mbalimbali
Mar 31, 2024 07:58Wananchi huko Italia, Norway, Marekani, Japan na Morocco kwa mara nyingine tena wameandamana kulaani mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina yanayofanywa na wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Zelensky aonya: Bila msaada wa kijeshi wa Marekani, Ukraine italazimika kurudi nyuma
Mar 30, 2024 22:47Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amesema iwapo nchi yake haitopatiwa msaada wa kijeshi ulioahidiwa na Marekani ambao kwa sasa umezuiwa kutokana na mizozo iliyomo ndani ya Kongresi ya nchi hiyo italazimika kurudi nyuma katika vita na Russia hatua kwa hatua.
-
CDC: Maambukizi ya magonjwa ya zinaa yameongezeka sana Marekani
Mar 29, 2024 08:28Mambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) yanaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kuogofya miongoni mwa watu wazima nchini Marekani.
-
Wapalestina: Gati ya muda inayotaka kujenga Marekani Ghaza ni "Bandari ya Uvamizi"
Mar 29, 2024 03:54Wapalestina wanaielezea gati ya muda inayojengwa na Marekani kwenye pwani ya mji wa Ghaza kuwa ni "bandari ya uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu".
-
CAIR: UN ichunguze jeshi la Israel lilivyowaua Wapalestina bila sababu na kuzifukia maiti zao
Mar 28, 2024 06:39Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani [CAIR] limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuchunguza video inayoonyesha wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakiwapiga risasi bila sababuu Wapalestina wawili wanaoonekana kuwa hawana silaha kisha kuzifukia maiti zao kwa buldoza.
-
Yemen yafanya mashambulizi 6 dhidi ya US, UK na Israel
Mar 27, 2024 04:09Vikosi vya Jeshi la Yemen vimefanya mashambulizi sita dhidi ya meli za Marekani, Uingereza na utawala haramu wa Israel, ukiwa ni muendelezo wa operesheni za kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na kujibu uvamizi wa Washington na London dhidi ya Yemen.