Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iraq yatoa onyo baada ya US kufanya mashambulizi ya anga nchini humo

    Iraq yatoa onyo baada ya US kufanya mashambulizi ya anga nchini humo

    Feb 03, 2024 03:58

    Serikali ya Iraq imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani dhidi ya maeneo kadhaa ya nchi hiyo na nchi jirani yake Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimekiuka mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.

  • Ansarullah: US kuiasa China iingilie kadhia ya Bahari Nyekundu ni ishara ya kufeli

    Ansarullah: US kuiasa China iingilie kadhia ya Bahari Nyekundu ni ishara ya kufeli

    Feb 02, 2024 04:19

    Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema juhudi za Washington za kutafuta usaidizi na upatanishi wa China ili iwaombe Wayemen wasimamishe mashambulizi dhidi ya meli za Marekani na Uingereza zinazopita Bahari Nyekundu zinaonesha namna madola hayo mawili ya kibeberu yalivyofeli katika mipango yao.

  • Iran yaitaka Marekani iache kutumia lugha ya vitisho dhidi yake

    Iran yaitaka Marekani iache kutumia lugha ya vitisho dhidi yake

    Feb 01, 2024 07:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameitaka Marekani iache kutumia lugha ya vitisho dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, vitisho vyovyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu vitakabiliwa na jibu madhubuti na la haraka.

  • Vikosi vya Yemen vyashambulia tena manowari ya US kwa makombora

    Vikosi vya Yemen vyashambulia tena manowari ya US kwa makombora

    Feb 01, 2024 07:36

    Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimefanya shambulio jipya la makombora dhidi ya meli ya kivita ya Marekani katika pwani ya Bahari Nyekundu.

  • Gazeti la US: Wanajeshi wa US walioko Iraq wamewekwa tayari kwenda kuisaidia Israel katika vita vya Gaza

    Gazeti la US: Wanajeshi wa US walioko Iraq wamewekwa tayari kwenda kuisaidia Israel katika vita vya Gaza

    Jan 31, 2024 09:42

    Gazeti la mtandaoni la The Intercept limeripoti kuwa, wanajeshi wa Marekani walioko nchini Iraq wamewekwa tayari ili itakapohitajika wakatoe msukumo na msaada katika mashambulio ya vita vya nchi kavu vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza uliozingirwa.

  • Ukraine ina wasiwasi wa kupunguziwa misaada ya Magharibi

    Ukraine ina wasiwasi wa kupunguziwa misaada ya Magharibi

    Jan 31, 2024 07:21

    Rais wa Ukraine amekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu mkabala wa Russia na kusema: Ulaya peke yake haiwezi kuisaidia Ukraine dhidi ya Russia bila uungaji mkono wa Marekani.

  • Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari

    Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari

    Jan 29, 2024 03:34

    Sambamba na kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na sambamba na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ ya kutoa hukumu dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa jinai zake hizo, hivi sasa wimbi la kulaani jinai za Wazayuni na waungaji mkono wake nalo linazidi kuwa kubwa, siku baada ya siku.

  • Askari 3 wa Marekani wauawa, 30 wajeruhiwa Jordan; Muqawama wa Iraq wathibitisha kuhusika

    Askari 3 wa Marekani wauawa, 30 wajeruhiwa Jordan; Muqawama wa Iraq wathibitisha kuhusika

    Jan 29, 2024 00:19

    Askari watatu wa jeshi la Marekani wameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye kambi ndogo ya jeshi hilo iliyoko nchini Jordan.

  • Trump: Iwapo Marekani itashambuliwa, NATO haitakuja kuiokoa

    Trump: Iwapo Marekani itashambuliwa, NATO haitakuja kuiokoa

    Jan 28, 2024 23:32

    Rais wa zamani wa Marekani amesema kwamba, haitakidi kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO litaenda kuikoa Marekani iwapo nchi hiyo itakabiliwa na mashambulizi.

  • Biden ashtakiwa Marekani kwa

    Biden ashtakiwa Marekani kwa "kushiriki" mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Gaza

    Jan 28, 2024 02:48

    Mahakama moja ya mji wa Oakland katika jimbo la California, imesikiliza mashtaka yaliyofunguliwa dhidi ya Rais wa Marekani Joe Biden na maafisa kadhaa waandamizi wa nchi hiyo ya "kushiriki katika mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Gaza".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS