Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Upinzani wa China kwa hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen

    Upinzani wa China kwa hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen

    Jan 26, 2024 23:04

    Wang Wenbing, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijatoa kibali kwa mtu yeyote kutumia nguvu dhidi ya Yemen, akimaanisha hujuma na mashambulio ya kijeshi yanayofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya ngome na vituo vya harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • Tangazo la Marekani la kuwa tayari kwa mazungumzo ya kuhitimisha kuwepo kwake kijeshi nchini Iraq

    Tangazo la Marekani la kuwa tayari kwa mazungumzo ya kuhitimisha kuwepo kwake kijeshi nchini Iraq

    Jan 26, 2024 04:27

    Afisa mmoja wa Marekani ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema, katika barua ambayo balozi wa Marekani mjini Baghdad, Alina Romanovsky aliiwasilisha siku ya Jumatano kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hossein, Washington imetangaza kuwa iko tayari kuanza mazungumzo na Baghdad ya kuhitimisha uwepo kijeshi wa nchi hiyo na washirika wake katika ardhi ya Iraq.

  • Seneta Sanders: Washington ni mshirika wa jinai za Israel huko Gaza

    Seneta Sanders: Washington ni mshirika wa jinai za Israel huko Gaza

    Jan 25, 2024 08:12

    Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema serikali ya Washington ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gaza kutokana na uungaji mkono wake kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Ansarullah yaitaka UN iwaondoe Yemen wafanyakazi wake raia wa US, UK

    Ansarullah yaitaka UN iwaondoe Yemen wafanyakazi wake raia wa US, UK

    Jan 25, 2024 07:42

    Harakati ya Ansarullah imeziagiza Marekani na Uingereza ziwaondoea nchini Yemen raia wake wanaoufanyia kazi Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Sana'a.

  • Baghdad yalaani mashambulizi ya makombora ya Marekani dhidi ya Iraq

    Baghdad yalaani mashambulizi ya makombora ya Marekani dhidi ya Iraq

    Jan 24, 2024 23:57

    Msemaji wa Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iraq amelaani mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani dhidi ya vituo na ngome za Jeshi la Iraq na makundi ya muqawama yanayopambana na ugaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Hatua mpya za kivita na kichokozi za nchi zaMagharibi katika eneo la Asia Magharibi

    Hatua mpya za kivita na kichokozi za nchi zaMagharibi katika eneo la Asia Magharibi

    Jan 24, 2024 23:25

    Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ili kudumisha usalama, maslahi ya kiuchumi na kibiashara ya utawala huo katika Bahari Nyekundu, katikati ya mwezi wa Disemba mwaka jana, ilitangaza kuundwa muungano wa baharini lakini muungano huo haukuungwa mkono na nchi za Ulaya isipokuwa Uingereza.

  • Kugunduliwa  makaburi ya halaiki ya watu weusi huko Florida Marekani, ukumbusho wa mateso ya kihistoria

    Kugunduliwa makaburi ya halaiki ya watu weusi huko Florida Marekani, ukumbusho wa mateso ya kihistoria

    Jan 24, 2024 09:55

    Ubaguzi wa rangi na unyanyasaji wa watu wasio wazungu, haswa watu weusi, huko Marekani ni wa siku nyingi kama historia ya nchi hiyo. Kuhusiana na jambo hilo, Jeshi la Wanahewa la Marekani limetangaza kugundua makaburi 121 ya watu weusi katika Kituo cha Jeshi la Anga cha MacDill huko Tampa.

  • Marekani: Israel imeshindwa kufikia lengo la vita, HAMAS ingali iko imara, ina silaha za kutosha

    Marekani: Israel imeshindwa kufikia lengo la vita, HAMAS ingali iko imara, ina silaha za kutosha

    Jan 21, 2024 09:18

    Mashirika ya intelijensia ya Marekani yamesema, idadi ya vifo vya wapiganaji wa harakati ya HAMAS vilivyotokana na uvamizi unaoendelea wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza haifikii lengo la utawala huo la kulitokomeza kundi hilo la muqawama wa Palestina.

  • CNN: Marekani inatazamia kutuma Ukraine msaada mkubwa zaidi kabla ya 2025

    CNN: Marekani inatazamia kutuma Ukraine msaada mkubwa zaidi kabla ya 2025

    Jan 20, 2024 23:09

    Televisheni ya CNN yenye makao yake nchini Marekani imeripoti kuwa Washington inatazamia kutuma msaada mubwa zaidi huko Ukraine kabla ya Januari mwaka 2025 na kukfanyika uchaguzi wa rais nchini humo.

  • Jeshi la Yemen lashambulia meli nyingine ya US Ghuba ya Aden

    Jeshi la Yemen lashambulia meli nyingine ya US Ghuba ya Aden

    Jan 20, 2024 00:33

    Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimeshambulia meli nyingine ya Marekani iliyokuwa ikipita katika Ghuba ya Aden.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS