Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kambi za kijeshi za Marekani zashambuliwa kwa droni Iraq, Syria

    Kambi za kijeshi za Marekani zashambuliwa kwa droni Iraq, Syria

    Nov 03, 2023 23:33

    Vituo viwili vya kijeshi vya Marekani vimeshambuliwa katika hujuma za ndege zisizo na rubani (droni) katika eneo la Kurdistan la kaskazini mwa Iraq na katika mkoa wa Hasaka, mashariki mwa Syria.

  • Hamas yasema Marekani inawasaidia Wazayuni katika vita vya Ghaza

    Hamas yasema Marekani inawasaidia Wazayuni katika vita vya Ghaza

    Nov 02, 2023 02:49

    Mmoja wa viongozi wa kundi la Wanamapambano wa Kiislamu wa Palestina Hamas amesema Marekani inaunga mkono na kuusaidia kwa hali na mali Utawala wa Kizayuni katika mapigano ya Ghaza.

  • "Okoa watoto wa Gaza", Wamarekani wakatiza kikao cha Kongresi cha kumsaili Blinken na Austin

    Nov 01, 2023 04:45

    Waandamanaji jana Jumanne walikatiza kikao cha kuwahoji mawaziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi wa Marekani katika Bunge la Kongresi kilichoitishwa kwa ajiili ya kijadili suala la kuongeza uungaji mkono na misaada kwa Israel na Ukraine. Waandamanaji hao walioingia ndani ya Kongresi walitoa nara wakitaka "kuokolewa watoto wa Gaza" na "kusitishwa mapigano mara moja" katika eneo hilo la Palestina.

  • Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 30, 2023 08:05

    Tangu kuanza duru mpya ya vita kati ya utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama ya Palestina na operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa na radiamali kali ya Wazayuni dhidi ya hatua hiyo, Marekani ikiwa mshirika wa kistratijia wa Israel imetoa himaya kubwa ya kisiasa, kidiplomasia na kijeshi kwa utawala huo ghasibu. Filihali Washington imechukua hatua mpya katika mwelekeo huu.

  • Vita vya Ukraine na Ghaza vinavyozidi kuyanufaisha makampuni ya silaha ya Marekani

    Vita vya Ukraine na Ghaza vinavyozidi kuyanufaisha makampuni ya silaha ya Marekani

    Oct 30, 2023 04:13

    Vita nchini Ukraine vinaendelea sambamba na kuongezeka mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza huko Palestina huku ripoti zikisema kuwa, viwanda vya kuzalisha silaha vya nchini Marekani vinafaidika mno na vita hivyo.

  • Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza

    Jarida lathibitisha: Vikosi maalumu vya Marekani vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza

    Oct 28, 2023 23:30

    Jarida la Marekani linalohusika na masuala ya kijeshi limefichua kuwa vikosi maalumu vya nchi hiyo vinapigana bega kwa bega na Wazayuni katika vita vya Gaza.

  • Kupigiwa kura ya veto maazimio yanayohusu vita vya Ghaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Kupigiwa kura ya veto maazimio yanayohusu vita vya Ghaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Oct 27, 2023 03:57

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeshindwa kupasisha azimio Katika hali ambayo wananchi wa Ukanda wa Ghaza bado wanakabiliwa na mashambulizi ya kinyama na ya kutisha ya utawala wa Kizayuni ambapo utawala huo unazuia kufikishwa misaada ya dharura katika eneo hilo.

  • Iran: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Iran: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Oct 25, 2023 04:07

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gazal kutokana na uungaji mkono wake usio na kifani kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Uganda yataja onyo la Marekani dhidi yake kuwa kichekesho

    Uganda yataja onyo la Marekani dhidi yake kuwa kichekesho

    Oct 25, 2023 04:06

    Uganda imekejeli na kukosoa tahadhari iliyotolewa na Marekani iliyodai kuwa ni hatari kufanya biashara na kuwekeza katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

  • Upinzani mkali wa Marekani dhidi ya juhudi za kusitisha vita Ghaza

    Upinzani mkali wa Marekani dhidi ya juhudi za kusitisha vita Ghaza

    Oct 24, 2023 06:33

    Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni si tu kwamba inatoa misaada ya kila aina ya silaha na fedha kwa ajili ya kuushambuliwa Ukanda wa Ghaza, bali pia inapinga vikali usitishwaji vita katika uvamizi huo wa umwagaji damu kwa visingizio vya uongo na visivyo na msingi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS