Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Gaza: Israel imevunja kabisa misikiti 31 na kuharibu vibaya makanisa 3

    Gaza: Israel imevunja kabisa misikiti 31 na kuharibu vibaya makanisa 3

    Oct 22, 2023 11:27

    Ofisi ya Vyombo ya Habari vya Serikali ya Ukanda wa Gaza imetangaza leo Jumapili kwamba idadi ya misikiti iliyovunjwa kabisa katika mashambulizi ya jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza imeongezeka na kufikia misikiti 31, na uharibifu mkubwa umerekodiwa katika makanisa 3.

  • Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan

    Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia: Marekani itashindwa huko Ukraine kama ilivyofeli Afghanistan

    Oct 21, 2023 23:50

    Balozi wa Korea Kaskazini nchini Russia amelaani uungaji mkono na misaada ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine na kusema, mara hii pia Marekani itashindwa na kufeli kama ilivyokuwa huko Afghanistan.

  • Ukosoaji wa Russia kwa siasa za uadui za Marekani ulimwenguni

    Ukosoaji wa Russia kwa siasa za uadui za Marekani ulimwenguni

    Oct 21, 2023 03:54

    Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Russia amekosoa vikali siasa za uhasama za Marekani ulimwenguni.

  • Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza

    Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza

    Oct 19, 2023 07:20

    Jumatano, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikataa tena azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kufuatia upinzani wa Marekani. Marekani ilipinga azimio lililopendekezwa kwa Baraza la Usalama na Brazil, lililotaka kusitishwa mapigano ili kufikishwa misaada ya kibinadamu Ghaza.

  • Kiongozi Mkuu wa Iran: Jinai za Gaza zisiposimamishwa, hakuna atakayeweza kuwazuia Waislamu na Wanamuqawama

    Kiongozi Mkuu wa Iran: Jinai za Gaza zisiposimamishwa, hakuna atakayeweza kuwazuia Waislamu na Wanamuqawama

    Oct 17, 2023 08:31

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: wananchi wa mataifa ya Kiislamu na hata watu wasio Waislamu duniani wamekasirishwa sana na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala unaoikalia Quds kwa mabavu, na iwapo unyama na ushenzi huo utaendelea Waislamu duniani na vikosi vya Muqawama wataishiwa na subira na hakuna atakayeweza kuwazuia.

  • Hamas: Nchi zinazounga mkono mashambulizi ya Israel zinahusika katika mauaji ya watoto na wanawake

    Hamas: Nchi zinazounga mkono mashambulizi ya Israel zinahusika katika mauaji ya watoto na wanawake

    Oct 17, 2023 00:17

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ilisema jana Jumatatu kuwa, nchi zinazounga mkono uvamizi wa Israel katika hujuma yake inayoendelea dhidi ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa zinahusika katika mauaji ya watoto, wanawake na raia.

  • Kukaririwa mauaji ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watoto huko Marekani kwa kuuawa kinyama mtoto wa Kipalestina

    Kukaririwa mauaji ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watoto huko Marekani kwa kuuawa kinyama mtoto wa Kipalestina

    Oct 16, 2023 08:43

    Polisi ya Chicago imetangaza kuwa mkazi mmoja wa mji huo amemuua mvulana wa Kipalestina wa miaka 6 kwa kisu na kumjeruhi vibaya mama yake.

  • Ni mbwa, si mtoto.. Mwandishi habari wa Marekani afichua uongo wa Netanyahu, madai ya Hamas kuua watoto

    Ni mbwa, si mtoto.. Mwandishi habari wa Marekani afichua uongo wa Netanyahu, madai ya Hamas kuua watoto

    Oct 15, 2023 22:59

    Mwandishi wa habari wa Marekani, Jackson Hinkle, meifichua uwongo wa picha iliyodaiwa ni ya mtoto aliyeungua moto iliyochapishwa na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, aliyesema kwamba ilikuwa ya mtoto wa Kiisraeli aliyechomwa moto na wapiganaji wa Harakati ya mapambano ya Kislamu ya Palestina (Hamas).

  • Korea Kaskazini yatishia kuishambulia manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani

    Korea Kaskazini yatishia kuishambulia manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani

    Oct 14, 2023 23:02

    Korea Kaskazini imeitishia Marekani kwamba itaanzisha "shambulio kali zaidi na la haraka zaidi la kujikinga" dhidi ya zana za kijeshi za nchi hiyo, ikiwa ni pamoja na meli yake ya kivita ya nyuklia iliyoko kwenye maji ya Peninsula ya Korea.

  • Makumi ya wanawake wamshtaki daktari Mmarekani kwa kuwadhalilisha kingono

    Makumi ya wanawake wamshtaki daktari Mmarekani kwa kuwadhalilisha kingono

    Oct 13, 2023 07:48

    Wanawake 82 nchini Marekani wamemfungulia mashtaka daktari aliyekuwa akifanya katika hospitali moja katika mji wa Boston nchini humo kwa tuhuma za kuwadhalilisha kingono.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS