Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mashariki ya Kati

  • Rouhani: Taifa la Iran haliwezi kusahau uvamizi wa Marekani katika eneo

    Rouhani: Taifa la Iran haliwezi kusahau uvamizi wa Marekani katika eneo

    Feb 01, 2018 10:29

    Katika kile kinachoonekana ni radiamali kwa matamshi ya kinafiki ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu taifa hili haliwezi kusahau vitendo vya kivamizi vya Marekani katika eneo hili la Mashariki ya Kati.

  • The Independent: Bin Salman ndiye 'shakhsia wa mwaka' kwa mapungufu

    The Independent: Bin Salman ndiye 'shakhsia wa mwaka' kwa mapungufu

    Dec 17, 2017 04:35

    Mwandishi mashuhuri wa habari wa gazeti la The Independent la Uingereza kwa njia ya kinaya amemuarifisha Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuwa 'shakhsia wa mwaka' kutokana na kufeli sera zake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Marekani yaionya Saudia dhidi ya mienendo yake Mashariki ya Kati

    Marekani yaionya Saudia dhidi ya mienendo yake Mashariki ya Kati

    Dec 09, 2017 03:53

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ameitahadharisha Saudi Arabia juu ya matokeo mabaya ya vitendo vyake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Marekani yaongeza idadi ya wanajeshi wake kwa asilimia 33 Mashariki ya Kati

    Marekani yaongeza idadi ya wanajeshi wake kwa asilimia 33 Mashariki ya Kati

    Nov 24, 2017 00:46

    Idadi ya wanajeshi wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati wameongezeka kwa asilimia 33 katika kipindi cha miezi minne iliyopita.

  • Mtazamo wa Iran kuhusu njia za kuleta usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)

    Mtazamo wa Iran kuhusu njia za kuleta usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)

    Nov 16, 2017 04:14

    Sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) zimejengeka katika msingi wa kuleta amani, uthabiti na utulivu. Iran inafualitia sera za kupunguza migogoro na malumbano katika eneo na inashiriki katika mipango yote yenye kufikia lengo hilo.

  • Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati

    Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati

    Nov 10, 2017 11:33

    Imebainika kuwa, utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinapanga njama ya kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Seneta McCain: Iran itaitimua Marekani Mashariki ya Kati

    Seneta McCain: Iran itaitimua Marekani Mashariki ya Kati

    Oct 26, 2017 11:41

    John McCain, Mkuu wa Kamati ya Vikosi vya Ulinzi ya Seneti ya Marekani ameiasa serikali ya Washington iwe na stratijia inayofahamika ya kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinginevyo, Iran itaitimua Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Rais Putin: Machafuko eneo la Mashariki ya Kati yanasababishwa na kupenda kujitanua kwa baadhi ya pande.

    Rais Putin: Machafuko eneo la Mashariki ya Kati yanasababishwa na kupenda kujitanua kwa baadhi ya pande.

    Oct 20, 2017 01:20

    Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, hali ya sasa ya eneo la Mashariki ya Kati imekuwa mbaya kutokana na njama za baadhi ya madola katika kulisukuma eneo hilo kuelekea kwenye maslahi yao binafsi.

  • Rouhani: Kuanzisha vita hakutakuwa na manufaa kwa nchi yoyote M/Kati

    Rouhani: Kuanzisha vita hakutakuwa na manufaa kwa nchi yoyote M/Kati

    Oct 11, 2017 04:46

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Rouhani: Kuanzishwa vita hakutainufaisha nchi yoyote Mashariki ya Kati

    Rouhani: Kuanzishwa vita hakutainufaisha nchi yoyote Mashariki ya Kati

    Oct 11, 2017 01:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS