-
Zarif: Iran inataka suluhu, uthabiti na usalama katika eneo
Oct 10, 2017 13:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, kwa muda sasa eneo la Mashariki ya Kati limekumbwa na machafuko na ukosefu wa uthabiti baada ya vikosi vya kijeshi vya kigeni kuanza kuingilia masuala ya eneo hili na amesisitiza kwamba Tehran inataka suluhu, uthabiti na amani vitawale katika mataifa yote ya eneo hili.
-
Uwezo wa kiulinzi wa Iran kwa ajili ya kukabiliana na mipango ya Marekani
Sep 16, 2017 22:06Kamanda wa kikosi cha anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa Marekani ilikuwa na mipango muhimu kwa ajili ya eneo la Mashariki ya Kati ambayo hata hivyo imefelishwa na kuzimwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 18, 2017 22:19Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 18, 2017 22:18Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
Iran: Marekani ichunge mienendo yake katika Ghuba ya Uajemi
Mar 25, 2017 23:10Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu limeionya vikali Marekani na kuitaka iwe makini katika harakati zinazofanywa na vikosi vyake vya majini katika Ghuba ya Uajemi.
-
Waislamu wa Kishia Saudi Arabia wakandamizwa na kunyimwa haki zao za kiraia
Jan 04, 2017 09:01Katika mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Sheikh Nimr Baqir Al Nimr, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Saudi Arabia, Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo katika eneo la Al Awamiya mashariki mwa nchi hiyo, wametangaza utiifu wao kwa malengo yake matukufu huku wakiutaka utawala wa ukoo wa Al Saud usitishe sera zake za kuwabagua Mashia.
-
Rais wa Lebanon apongeza nafasi ya Iran katika eneo
Dec 24, 2016 04:19Rais Michel Aoun wa Lebanon amepongeza na kusifu nafasi ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imechangia pakubwa kupatiwa ufumbuzi migogoro mbalimbali katika eneo.
-
Hizbullah: Tuna matumaini ya kuwa na "Mashariki ya Kati Yenye Muqawama"
Nov 19, 2016 12:09Sayyid Hashim Safiyyuddin, mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema ushindi na kujitolea mhanga Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu kutawezesha kujengwa mustakabali wenye kung'ara kwa Umma wa Kiislamu na kuanzishwa "Mashariki ya Kati Yenye Muqawama".
-
Rouhani: Uingiliaji wa kigeni umeleta mgawanyiko Mashariki ya Kati
Nov 02, 2016 01:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo yanayolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati yamesababishwa na uingiliaji unaofanywa na nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi za eneo hilo.
-
Duff: Kuchaguliwa Aoun kunaonesha Saudia inazidi kupoteza ushawishi
Nov 01, 2016 11:38Gordon Duff, Mhariri Mwandamizi wa jarida la Veterans Today la Marekani na pia mchambuzi wa masuala ya siasa amesema hatua ya Lebanon kupata rais mpya ni dhihirisho kuwa Saudi Arabia inazidi kupoteza ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati.