-
Tunisia yaijia juu polisi ya Ufaransa kwa kuua raia wake Marseille
Sep 04, 2025 07:36Tunisia imewasilisha malalamiko rasmi kwa Ufaransa, ikilaani mauaji ya raia wa nchi hiyo ya Kiarabu yaliyofanywa na polisi wa Ufaransa katika mji wa kusini wa Marseille.
-
IPOA yafichua: Polisi wa Kenya waliua watu 65 katika maandamano Juni, Julai
Jul 25, 2025 05:44Ripoti mpya ya Mamlaka Huru ya Kuchunguza Utendakazi wa Polisi (IPOA) imefichua kwamba watu 65 walipoteza maisha, 41 kati yao kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi, huku raia 342 wakijeruhiwa vibaya wakati wa maandamano ya Juni 25 na Julai 7 mwaka huu dhidi ya serikali ya Rais William Ruto wa Kenya.
-
Jumatatu, tarehe tatu Februari, 2025
Feb 03, 2025 02:31Leo ni Jumatatu tarehe 4 Shaabani 1446 Hijria, sawa na tarehe tatu Februari 2025.
-
Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama baada ya Israel kukiri ilihusika na mauaji ya Ismail Haniyeh
Dec 25, 2024 12:07Amir Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa jana Jumanne alimwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisisitiza kwamba, Israel imebeba dhima ya kuhusika na mauaji ya Shahidi Ismail Haniyeh, mkuu zamani wa Idara ya Siasa ya harakati ya Hamas.
-
Vyombo vya habari Kenya: Siasa za usaliti na ‘njama za mauaji’ zimerejea kwa kishindo
Oct 23, 2024 08:01Baadhi ya vyombo vya habari vya Kenya vimeripoi kuwa, siasa za madai ya usaliti na njama za watu kuuawa zimeanza kujitokeza tena nchini humo baada ya naibu rais aliyetimuliwa mamlakani kudai alijaribiwa kulishwa sumu mara mbili.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kuuliwa kigaidi na Israel mwanamama Muirani huko Beirut
Oct 21, 2024 02:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha Israel cha kumuuwa kikatili mwanamke wa Kiirani na mumewe raia wa Lebanon huko Beirut.
-
Msaada wa EU kwa Ukraine tangu vilipoanza vita na Russia 2022 umefikia dola bilioni 131
Sep 18, 2024 06:02Misaada iliyotolewa na Umoja wa Ulaya (EU) na nchi wanachama wa umoja huo kwa Ukraine tangu vilipoanza kati ya nchi hiyo na Russia mnamo Februari 2022 imefikia yuro bilioni 118 (dola bilioni 131). Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais wa Tume ya EU Valdis Dombrovskis.
-
Iran yakanusha madai ya kujaribu kuwamaliza wapinzani nje ya nchi
Sep 13, 2024 07:32Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa mjini New York amepinga vikali madai ya kuwepo majaribio ya kuwamaliza wapinzani wa Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi akiyataja kuwa ni "uzushi" uliobuniwa na maadui.
-
Alhamisi, Septemba 5, 2024
Sep 05, 2024 02:27Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na Septemba 5 mwaka 2024.
-
Mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake Kenya atoroka gerezani
Aug 20, 2024 12:01Raia wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana imetupwa katika eneo la kutupa taka jijini Nairobi, ametoroka gerezani.