-
Mshukiwa wa mauaji ya makumi ya wanawake Kenya atoroka gerezani
Aug 20, 2024 12:01Raia wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana imetupwa katika eneo la kutupa taka jijini Nairobi, ametoroka gerezani.
-
Mwana wa kiume wa Haniya: Wapalestina watapambana mpaka wapate uhuru wao
Aug 01, 2024 03:15Mwana wa kiume wa Shahidi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ambaye aliuawa katika shambulizi lililofanywa katika mji mkuu wa Iran Tehran, ameapa kuwa Wapalestina "watapambana mpaka wapate uhuru wao."
-
Kanusho la Iran kwa madai ya uwongo ya Marekani ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump
Jul 18, 2024 10:40Baada ya tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani na mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024, baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani kwa mara nyingine vikiendeleza propaganda za chuki dhidi ya Iran (Iranphobia) vilidai kuweko mkono wa Iran katika tukio hilo.
-
Iran yakanusha madai ya uwongo ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump
Jul 17, 2024 07:28Akijibu baadhi ya ripoti zisizo na msingi zinazodai kuwa Iran imeshiriki katika jaribio la kumuua Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote na kwamba ni za kichochezi.
-
Watu 40 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Mali
Jul 03, 2024 06:44Makumi ya watu wameuawa katika shambulio la genge la wabeba silaha, lililolenga kijiji kimoja cha katikati mwa Mali.
-
Wakulima 30 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Nigeria
May 11, 2024 11:46Kwa akali wakulima 30 wameuawa katika shambulizi la genge la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Hamas: Kuanzisha maeneo ya kunyonga watu huko Gaza ni uhalifu wa kikatili wa kivita
Apr 01, 2024 11:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba, kilichofichuliwa na vyombo vya habari vya Israel kuhusu hatua ya jeshi la utawala huo ya kuanzishwa "maeneo ya kunyonga watu" katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtu yeyote anayetembea katika maeneo hayo anauawa, ni jinai ya kikatili ya kivita.
-
Taharuki yatanda Sudan Kusini baada ya watu 15 kuuawa Pibor
Mar 21, 2024 02:54Hali ya wasi wasi imetanda nchini Sudan Kusini kufuatia mauaji ya watu 15 yaliyotokea katika eneo la Pibor, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waislamu wakosoa kutoakisiwa mauaji ya makumi msikitini Burkina Faso
Feb 27, 2024 07:28Makumi ya waumini wa Kiislamu waliuawa katika shambulizi dhidi ya msikiti nchini Burkina Faso, siku ambayo watu 15 waliuawa pia katika hujuma nyingine dhidi ya kanisa nchini humo.
-
Imam wa Swala ya Jamaa Marekani auawa kwa kupigwa risasi
Jan 05, 2024 07:46Imamu wa Msikiti wa Muhammad huko Newark, katika jimbo la New Jersey nchini Marekani ameuawa kwa kupigwa risasi mbele ya msikiti huo.