-
Watu 16 wauawa katika mapigano jimboni Plateau, kaskazini mwa Nigeria
Dec 25, 2023 10:43Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulio la wabeba silaha katika jimbo la Plateau, kaskazini ya kati ya Nigeria.
-
Mashambulio ya anga ya Israel yaua Wapalestina 100 Jabalia
Dec 18, 2023 10:19Wapalestina zaidi ya 100 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanafunzi 13 wauawa wakisherehekea Maulidi Nigeria
Nov 07, 2023 13:22Kwa akali wanafunzi 13 wa madrasa ya Kiislamu wameuawa katika shambulizi la wabeba silaha katika jimbo la Katsina, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
UN: Watu 183 wameuawa katika mapigano Amhara, Ethiopia
Aug 30, 2023 08:16Umoja wa Mataifa umesema kwa akali watu 183 wameuawa katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia.
-
Watu 16 wauawa katika mashambulizi mapya Khartoum, Sudan
Jul 26, 2023 06:11Watu wasiopungua 16 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga na ardhini viungani mwa Khartoum, mji mkuu wa Sudan.
-
Watu 17 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi ya ISIS nchini Mali
Jun 30, 2023 03:23Raia wasiopungua 17 wameuawa katika mashambulizi mawili yaliyofanywa na wanachama wenye mfungamano na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) katika eneo la Gao, kaskazini mwa Mali.
-
Afisa wa UN: Watu 600 wameuawa DRC ndani ya miezi 3
Jun 27, 2023 06:56Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa barani Afrika amesema kwa akali watu 600 wameuawa katika mashambulizi ya magenge yanayobeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
-
Biden: Kesi za ufyatuaji risasi zinaripotiwa kila siku nchini Marekani
Jun 17, 2023 11:06Rais Joe Binden wa Marekani ameungama na kusema kwamba, matukio ya ufyatuaji risasi na mauaji ya halaiki kwa silaha za moto yameongezeka kwa kiasi cha kutisha nchini humo.
-
Kana'ani Chafi: Kuuawa Wapalestina limekuwa jambo la kawaida la kila siku kwa Wazayuni
May 08, 2023 06:28Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matokeo ya kimya cha wanaodai kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na mauaji dhidi ya Wapalestina kumefanya kuuawa Wapalestina hao kuwa jambo la kawaida na la kila siku la Wazayuni.
-
Watu 6, wakiwemo watoto 3 wauawa kwa kupigwa risasi shuleni Marekani
Mar 28, 2023 07:17Watu sita wakiwemo wanafunzi watatu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa shuleni katika mji wa Nashville, jimbo la Tennessee kusini mwa Marekani.