-
Watu 6, wakiwemo watoto 3 wauawa kwa kupigwa risasi shuleni Marekani
Mar 28, 2023 03:47Watu sita wakiwemo wanafunzi watatu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa shuleni katika mji wa Nashville, jimbo la Tennessee kusini mwa Marekani.
-
Raia 12 wauawa katika shambulizi la wabeba silaha nchini Mali
Feb 24, 2023 23:13Kwa akali raia 12 wameuawa katika shambulizi la watu waliojizatiti kwa silaha katikati ya Mali.
-
Mapigano yashtadi Somaliland, waliouawa wapindukia 70
Feb 09, 2023 08:35Idadi ya watu waliouawa katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa kwa siku ya nne hii leo katika mji wa Las Anod, mashariki mwa eneo la Somaliland nchini Somalia imeongezeka na kufikia watu 70.
-
Watu 40 wauawa katika mapigano jimboni Katsina, Nigeria
Feb 04, 2023 03:56Watu zaidi ya 40 wameuawa katika mapigano baina ya kundi la wabeba silaha na wanakijiji waliojitolea kulinda usalama katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria.
-
Watu 15 wauawa katika shambulizi la ADF mashariki mwa DRC
Jan 30, 2023 08:16Kwa akali watu 15 wameuawa katika wimbi jipya la mashambulizi yaliyofanywa na genge la wanamgambo wa ADF mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jan 19, 2023 06:56Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina wawili.
-
Iran yalaani mauaji ya Mmarekani mweusi yaliyofanywa na polisi Los Angeles
Jan 14, 2023 23:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mauaji ya kikatili ya raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika, yaliyofanywa na polisi ya nchi hiyo akisisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima ya wimbi la ukatili dhidi ya Wamarekani weusi.
-
Jibu kali la Moscow kwa tishio la Marekani la kumuua Putin
Dec 28, 2022 22:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa matamshi ya maafisa wa Marekani katika Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo Pentagon, kuhusu pigo la kukata kichwa cha Kremlin kwa hakika ni tishio la kutaka kumuua kigaidi Rais wa Russia.
-
Mapigano ya kikabila yaua watu wengine 7 Darfur, Sudan
Dec 25, 2022 04:09Mapigano ya kikabila yaliyozuka katika eneo la Darfur nchini Sudan yamesababisha vifo vya saba, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa.
-
Kiongozi Muadhamu: Waliomuua mwanachuoni wa Kisunni wanataka kuwagawanya Wairani
Dec 14, 2022 08:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani kitendo cha kutekwa nyara na kuuawa mwanachuoni wa Kisunni huko kusini mashariki mwa Iran na kusisitiza kuwa, watenda jinai waliotekeleza uhaini huo wanatumikia maslahi ya pande zinazopinga ustawi na umoja wa wananchi wa Iran.