-
Marekani yakataa kujibu barua ya maripota wa UN kuhusu vikwazo dhidi ya Iran
Dec 25, 2022 11:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa chini ya vikwazo vya upande mmoja vya Marekani kwa zaidi ya miaka 40. Kuwekwa vikwazo dhidi ya Iran katika kipindi cha uongozi wa Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani baada ya kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanzisha kampeni ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, kumezidisha vikwazo visivyo na kifani vya nchi hiyo dhidi ya taifa la Iran.
-
Raisi: Kulinda mazingira ni jambo la dharura na kipaumbele kisichoepukika
Jul 12, 2022 11:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika Mkutano wa Mawaziri wa eneo hili kuhusu ushirikiano wa mazingira kwa mustakabali bora kwamba; umuhimu wa mazingira unapasa kuzingatiwa na kwamba kila mmoja anapasa kulinda mazingira mbali na mitazamo ya kawaida, kidiplomasia na kisiasa.
-
Kuanza kikao cha sita cha viongozi wa Bahari ya Kaspi huko Ashgabat
Jun 30, 2022 09:22Baada ya kusimamishwa kwa mwaka mmoja, kikao cha sita cha viongozi wa nchi tano zinazopakana na Bahari ya Kaspi kilianza Jumatano alasiri huko Ashgabat, mji mkuu wa Turkmenistan.
-
Guterres: Dunia inasuasua kuhusu janga la hali ya hewa
Mar 21, 2022 15:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, jana alisema kuwa, ulimwengu unajikongoja kuhusu janga la hali ya hewa huku nchi zilizostawi kiuchumi duniani zikiruhusu kuongezeka uchafuzi wa mazingira kupitia gesi ya carbon katika hali ambayo uchafuzi wa mazingira unapasa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa.
-
UN yaonya, vifo vya uchafuzi wa mazingira ni zaidi ya vifo vya corona
Feb 17, 2022 08:20Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema vifo vinavyotokana na uchafuzi wa mazingira, kama vile uchafuzi wa hali ya hewa, vinazidi vile vinavyosababishwa na janga la corona.
-
Nchi za Ulaya zinaziuzia nchi za Afrika dizeli inayoua
Jun 06, 2019 02:33Mtaalamu maalum wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu taka hatarishi na za sumu amezionya kampuni za Ulaya ambazo zinaziuzia nchi za Afrika nishati chafuzi yakiwemo mafuta ya dizeli yenye kemikali za sumu.
-
WHO: Watu milioni 7 wanapoteza maisha kila mwaka duniani kwa kuvuta hewa chafu
Nov 01, 2018 01:24Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa, uchafu uliojaa katika hewa unasababisha vifo vya watu milioni saba kila mwaka katika kona mbalimbali za dunia.
-
Plastiki zapigwa vita katika Siku ya Mazingira Duniani
Jun 05, 2018 07:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukataa matumizi ya plastiki zinazotumika mara moja na kutupwa.
-
Mkutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa waanza Nairobi
Dec 04, 2017 07:11Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Miroslav Lajčák aliyeko ziarani nchini Kenya, amesema maendeleo hayapaswi kusababisha uharibifu wa mazingira.
-
Guterres: Umoja wa Mataifa umeazimia kulinda mazingira
Nov 06, 2017 12:51Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuhusu azma ya umoja huo ya kulinda mazingira duniani.