-
Mwaka 2017 watarajiwa kuvunja rekodi ya kuwa na joto kali
Nov 06, 2017 08:00Mwaka huu 2017 unatarajiwa kawa miongoni mwa miaka mitatu iliyovunja rekodi ya kuwa na jioto kali katika historia ya sayari ya dunia.
-
Watu wa Asili, Tabaka Lililokandamizwa Zaidi katika Dunia ya Leo
Aug 09, 2017 18:38Tarehe 23 Disemba mwaka 1994 Umoja wa Mataifa uliitangaza tarehe 9 Agosti kila mwaka kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili (Indigenous). Siku hiyo ilitangazwa rasmi ili kukumbuka na kutetea haki za zaidi ya watu milioni 370 wa asili katika nchi 90 duniani.
-
Mataa yazimwa kwa saa moja duniani kulinda mazingira
Mar 26, 2017 13:52Miji ya nchi 170 duniani, ikiwemo Iran imeshiriki kwenye zoezi la kuzima taa kwa muda wa saa moja jioni ya tarehe 25 Machi.
-
Iran yaunda mashine ya kusafisha maji ya chumvi inayotumia nguvu za jua
Mar 01, 2017 08:34Karibuni katika mjumuiko huu wa vipindi ambavyo huangazia maendeleo mapya katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba duniani na hasa nchini Iran na baadhi ya maeneo mengine duniani. Leo tutaangazia mafanikio ya Iran katika kuunda mashine ya kusafisha maji ya chumvi inayotumia nishati ya jua. Karibuni
-
Siku ya Kimataifa ya Kulindwa Tabaka la Ozoni
Sep 14, 2016 12:22Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki cha kila wiki ambapo leo tumekuandalieni makala hii kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kulindwa Tabaka la Ozoni.
-
UNEA yaidhinisha maazimio 25 ya kuimarisha maendeleo endelevu
May 28, 2016 16:01Mkutano wa pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira UNEA2 umepasisha maazimio 25 yanayolenga kuchochea zaidi maendeleo endelevu yasiyochafua mazingira.
-
UN: Kutunza Mazingira ni msingi wa amani, maendeleo
May 27, 2016 03:31Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson , amesema kutunza mazingira ni msingi wa amani, maendeleo na ubinadamu kwa wote.