-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 11:00Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
-
Sisitizo la Rais mteule wa Bolivia la kuunga mkono kadhia ya Palestina
Nov 02, 2020 07:37Baada ya chama cha mrengo wa kushoto nchini Bolivia kuibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais nchini humo, Luis Arce rais mteule wa nchi hiyo amesisitiza juu ya himaya na uungaji mkono wa nchi yake kwa kadhia ya Palestina katika majukwaa na duru zote za ndani na za kimataifa.
-
Iran yakadhibisha madai ya kufanya mazungumzo na Marekani nchini Oman
Sep 28, 2020 12:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imefanya mazungumzo na Marekani huko nchini Oman.
-
HAMAS na Jihadul Islami zapinga mpango wa kufanya mazungumzo na Israel
May 08, 2020 08:15Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina HAMAS na Jihadul-Islami zimekosoa vikali mpango wa baadhi ya nchi za Kiarabu wa kutaka kurejea kwenye meza ya mazungumzo na utawala haramu wa Israel.
-
Rais Kiir wa Sudan Kusini na Machar kukutana ana kwa ana Juba
Dec 10, 2019 07:50Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani, Riek Machar wanatazamiwa kukutana leo Jumanne katika mazungumzo ya uso kwa uso katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.
-
Sudan yaakhirisha mazungumzo na makundi ya waasi
Nov 20, 2019 06:57Serikali ya Sudan imekubali ombi mla kuakhirisha hadi mwezi ujao mazungumzo ya amani kati yake na makundi ya waasi wanaobeba silaha yaliyotazamiwa kufanyika kesho Alkhamisi kufuatia ombi la timu ya wapatanishi.
-
Trump na ahadi zake bandia za kuiondolea Iran vikwazo baada ya kufanyika mazungumzo
Sep 30, 2019 12:06Baada ya kuiondoa nchi yake kwenye mapatano ya nyuklia mwezi Mei mwaka jana na kisha kuiwekea vikwazo vikali Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika miezi ya hivi karibuni Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha hamu kubwa ya kutaka kufanya mazungumzo na Iran ambapo baada ya kufanya mazungumzo na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, kulienea fununu za uwezekano wa kukutana marais wa Iran na Marekani kando ya mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Rais Rouhani: Uhusiano wa pande zote kati ya Iran na Iraq unazidi kupanuka na kustawi
Jul 23, 2019 07:40Rais Hassan Rouhani amesema, hatua athirifu zingali zinaendelea kuchukuliwa katika kupanua na kustawisha uhusiano wa pande zote kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq.
-
Iran: Hatufanyi mazungumzo ya moja kwa moja, au yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
May 27, 2019 08:33Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amepuuzilia mbali madai yaliyoenea hivi karibuni kwamba Tehran inafanya mazungumzo na Marekani kwa shabaha ya kupunguza taharuki baina ya nchi mbili.
-
Mgogoro wa Burundi umeshindikana? Mkapa alia na EAC kumtelekeza
Feb 07, 2019 14:43Wachunguzi wa mambo wanasema kuwa kuna kila dalili za kuonesha kuwa mgogoro wa Burundi umeshindikana kutatuliwa.