Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mazungumzo

  • Upinzani Sudan Kusini wataka mazungumzo ya amani yafanyike Ethiopia

    Upinzani Sudan Kusini wataka mazungumzo ya amani yafanyike Ethiopia

    Mar 20, 2018 15:03

    Mrengo mkuu wa upinzani nchini Sudan Kusini umepinga mashinikizo ya serikali ya Juba ya kuitaka Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD ibadilishe sehemu ya kufanyika mazungumzo ya amani kutoka Addis Ababa, Ethiopia.

  • Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika

    Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika

    Mar 09, 2018 13:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa ambako amedai kuwa nchi yake inaunga mkono mapambano ya umoja huo dhidi ya ugaidi.

  • Waziri Mkuu wa Iraq azungumza na Barzani kuhusu Kurdistan ya Iraq

    Waziri Mkuu wa Iraq azungumza na Barzani kuhusu Kurdistan ya Iraq

    Jan 21, 2018 03:09

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haydar al Abadi na Nechirvan Barzani, rais wa utawala wa ndani wa eneo la Kurdistan la Iraq wamefanya mazungumzo kuhusiana na matukio ya hivi karibuni na mgogoro uliozuka baina ya Baghdad na Erbil baada ya Kurdistan kuitisha kura ya maoni ya kujitenga na Iraq.

  • Saudia yakubali kufanya mazungumzo na Qatar na kisha kughairi baada ya madakika

    Saudia yakubali kufanya mazungumzo na Qatar na kisha kughairi baada ya madakika

    Sep 09, 2017 07:53

    Saudi Arabia imesimamisha mpango wa kufanya mazungumzo na Qatar kuhusu jinsi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro kati ya Doha na nchi nne za Kiarabu zikiongozwa na utawala wa Riyadh, dakika chache baada ya kukubali kuja kwenye meza ya mazungumzo.

  • Ayatullah Shahroudi: Ushindi dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS) ni neema ya Mwenyezi Mungu

    Ayatullah Shahroudi: Ushindi dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS) ni neema ya Mwenyezi Mungu

    Sep 04, 2017 04:22

    Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushindi katika vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh au ISIS, kuundwa kikosi cha kujitolea cha wananchi cha Hashdu al-Sha'abi na fatuwa za jihadi za Maulama wa Kishia ilikuwa neema kubwa.

  • Matokeo ya mazungumzo ya Trump na Putin mjini Hamburg Ujerumaini

    Matokeo ya mazungumzo ya Trump na Putin mjini Hamburg Ujerumaini

    Jul 09, 2017 08:00

    Baada ya kupita miezi mingi ya malalamiko ya Wamarekani kwa Russia wanaodai kuwa Moscow inaingilia masuala ya ndani ya nchi yao, hatimaye marais wawili wa nchi hizo mbili wamekutana pambizoni mwa kikao cha viongozi wa G20 mjini Hamburg, Ujerumani. Hayo yalikuwa ni mazungumzo ya kwanza ya marais hao wawili tangu Donald Trump atangazwe kuwa rais wa Marekani.

  • Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara

    Saudia na Israel zafanya mazungumzo kuhusu makubaliano ya kibiashara

    Jun 18, 2017 13:36

    Gazeti la The Times la Uingereza limefichua kuwa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya mazungumzo juu ya kile kinachotajwa kuwa mabadilishano rasmi ya kihistoria ya kibiashara.

  • Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia

    Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia

    Apr 09, 2017 16:42

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."

  • Rais wa Gabon azindua mazungumzo ya amani, Ping asusia

    Rais wa Gabon azindua mazungumzo ya amani, Ping asusia

    Mar 29, 2017 02:56

    Rais Ali Bongo wa Gabon amezindua mazungumzo yanayoyaleta pamoja makundi ya kisiasa nchini humo kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa, kiuchumi na kijami uliotokana na matokeo ya uchaguzi wa mwaka jana.

  • Marais wa Iran na Russia wasisitiza kustawishwa uhusiano wa nchi mbili

    Marais wa Iran na Russia wasisitiza kustawishwa uhusiano wa nchi mbili

    Mar 28, 2017 16:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na mwenzake wa Russia kuwa lengo la Iran na Russia ni kuimarisha amani na utulivu katika eneo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS