-
Utawala wa Aal Saud wazipiga mnada mali za bilionea wa nchi hiyo
Mar 18, 2018 16:36Maafisa wa utawala wa Aal Saud leo wamezipiga mnada mali za bilionea wa nchi hiyo Maan al-Sanea ambaye alitiwa nguvuni mwezi Oktoba mwaka uliopita wa 2017 pamoja na makumi ya wanawafalme na shakhsia wengine kadhaa mashuhuri wa nchi hiyo.
-
Mwana wa mpinzani mkuu wa el Sisi katika uchaguzi ujao Misri, atiwa mbaroni
Feb 08, 2018 07:11Mwana wa mkuu wa zamani wa jeshi la Misri ambaye ni mpinzani mkuu wa Rais Abdel Fattah el Sisi katika uchaguzi ujao wa rais ametiwa mbaroni wiki moja tu tangu alipoweka kizuizini baba yake.
-
Magaidi wanne watiwa mbaroni katikati ya Somalia
Feb 08, 2018 03:59Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kutiwa mbaroni magaidi wanne wa genge la wakufurishaji la al Shabab, katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Makamanda 23 wanaomuunga mkono Anan watiwa mbaroni Misri
Feb 03, 2018 07:48Idaya ya usalama nchini Misri imewatia mbaroni makamanda 23 miongoni mwa wafuasi wa Sami Hafez Anan, mkuu wa zamani wa majeshi nchini humo ambaye alitangaza azma yake ya kutaka kugombea uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Wapinzani wa serikali wazidi kutiwa mbaroni nchini Sudan
Feb 03, 2018 03:37Idadi ya wakuu wa vyama vya siasa, wanaharakati wa kisiasa na waandishi wa habari waliotiwa mbaroni nchini Sudan tangu yalipoanza malalamiko ya wananchi ya kulalamika kupanda bei ya bidhaa imeongezeka nchini humo.
-
Utawala wa Bahrain wawahukumu makumi ya raia adhabu ya kifo, kifungo cha maisha jela na kuwavua uraia
Jan 31, 2018 15:27Mahakama ya Jinai ya Bahrain leo imeendeleza sera kandamizi za utawala wa kiimla wa Aal Khalifa kwa kuwahukumu adhabu ya kifo, kifungo cha maisha jela na kuwavua uraia makumi ya raia wa nchi hiyo.
-
Hatimaye Bin Salman amuachilia huru bilionea Al-Waleed bin Talal na wenzake baada ya kutii amri yake
Jan 27, 2018 16:25Hatimaye Mohammad Bin Salman Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia amemuachilia huru bilionea Al-Waleed bin Talal na wanawafalme wengine baada ya kukubali kuhamisha kiasi kikubwa cha fedha zao kutoka kwenye akauti zao za benki na kuziweka kwenye akaunti za serikali pamoja na kutimiza masharti mengine mkabala wa kuachiliwa kwao huru.
-
Mbali na kutiwa mbaroni mwanamfalme bilionea wa Saudia, serikali yampokonya hoteli yake
Jan 22, 2018 08:08Katika mwendelezo wa kuwatia jela wanawafalme wanaompinga Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa Saudia, serikali ya nchi hiyo imetwaa kwa nguvu hoteli ya kimataifa ya Dar Al Tawhid ya mjini Makkah.
-
Wanawafalme na viongozi 60 wa Saudia, wahamishiwa jela ya al-Ha'ir
Jan 09, 2018 08:18Gazeti la Al-Araby Al-Jadeed limeandika kwamba, kwa akali wanawafalme na viongozi 60 wa ngazi ya juu wa zamani serikali nchini Saudia ambao walitiwa mbaroni na Mwanamfalme Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud katika hoteli ya kifahari ya Ritz-Carlton ya mjini Riyadh, wamehamishiwa jela ya al-Ha'ir nchini humo.
-
Kiongozi wa wanaotaka kujitenga Cameroon atiwa nguvuni nchini Nigeria
Jan 07, 2018 13:01Kiongozi wa harakati ya wanaotaka kujitenga nchini Cameroon ametiwa nguvuni katika mji mkuu wa nchi jirani ya Nigeria.