-
Wanawafalme wengine 11 walioandamana dhidi ya Bin Salman Riyadh watiwa mbaroni
Jan 06, 2018 16:41Wanawafalme 11 walioandamana mbele ya kasri la ufalme wa Saudi Arabia mjini Riyadh wametiwa mbaroni na askari wa gadi ya mfalme wa nchi hiyo na kupelekwa jela ya al-Ha'ir ya nchi hiyo.
-
Makumi ya wapinzani watiwa mbaroni Equatorial Guinea
Dec 30, 2017 07:37Chama kimoja cha upinzani cha Equatorial Guinea kimesema kuwa, makumi ya wanachama wake wametiwa mbaroni na serikali.
-
Mwanamfalme wa Saudi Arabia atiwa nguvuni Beirut akiwa na dawa za kulevya
Dec 24, 2017 03:24Askari usalama wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beirut nchini Lebanon wamemtia nguvuni mwanamfalme wa Saudi Arabia akiwa na dawa za kulevya.
-
Kamanda wa kundi moja la waasi atiwa mbaroni Darfur Sudan
Nov 27, 2017 15:15Wizara ya Ulinzi ya Sudan imetangaza habari ya kutiwa mbaroni kamanda wa kundi moja la waasi wa eneo la Darfur la magharibi mwa Sudan kwa tuhuma za kuvunja haki za binadamu.
-
Libya yaanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa
Nov 20, 2017 02:48Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa wameanzisha uchunguzi kuhusu suala la kushikiliwa na kuuzwa wahajiri kama watumwa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Wimbi la kamatakamata Saudia kwa madai ya ufisadi laendelea, sasa ni viongozi wa kijeshi
Nov 19, 2017 07:49Katika muendelezo wa wimbi jipya la kamatakamata ambalo halijawahi kushuhudiwa nchini Saudia kwa madai ya kufanyika mageuzi na kupambana na ufisadi viongozi wa ngazi ya juu wa kijeshi wametiwa nguvuni nchini humo.
-
Magaidi wawili watiwa mbaroni kaskazini mwa Morocco
Nov 11, 2017 07:23Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco imetangaza habari ya kutiwa mbaroni magaidi wawili kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Wanawafalme waendelea kukamatwa Saudia, mgogoro watokota, masoko ya hisa yaporomoka
Nov 09, 2017 04:01Wimbi jipya la kuwakamata wanawafalme limeripotiwa nchini Saudi Arabia ambapo wanawafalme wanaofungamana na Mohammad bin Nayef, mritihi wa kitu cha ufalme aliyeuzuliwa nao wametiwa mbaroni huku mgogoro mkubwa ukitokota katika ukoo wa Aal Saud.
-
Makumi ya Wanamfalme, mawaziri wa zamani na wa sasa wa Saudia wawekwa kizuizini
Nov 05, 2017 08:06Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umewatia nguvuni na kuwaweka kizuizini makumi ya Wanamfalme na mawaziri wa zamani na wa sasa wa utawala huo kwa kisingizio cha kupambana na ufisadi.
-
Waandamanaji karibu 30 watiwa mbaroni mashariki mwa Kongo DR
Nov 01, 2017 08:02Duru za polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kuwa watu karibu 30 wametiwa nguvuni katika maandamano dhidi ya serikali katika mji wa Goma makao makuu ya mkoa wa Kivu ya Kaskazini huko mashariki mwa nchi hiyo.