-
Wimbi kubwa la utiaji mbaroni wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain
Oct 22, 2017 03:06Polisi ya utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukabiliana kwa njia mbalimbali na wanaharakati wa kisiasa huko Bahrain huku wapinzani nchini humo wakiendelea kila uchao kuwekwa jela kwa visingizio visivyo na msingi.
-
Washukiwa sita wa ugaidi watiwa mbaroni Algeria
Sep 11, 2017 03:19Maafisa wa kulinda usalama nchini Algeria wamewatia mbaroni watu sita wanaoshukiwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Raia 12 watiwa mbaroni Misri kwa kujihusisha na biashara ya viungo vya binadamu
Aug 24, 2017 07:39Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza kuwa, imewatia mbaroni watu 12 wakiwemo madaktari na wauguzi kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya magendo ya viungo vya binadamu.
-
Bahrain yaendelea kuwatia mbaroni wanaharakati wa kisiasa wakiwamo wanawake
Aug 09, 2017 02:37Mkuu wa Taasisi ya Kisheria na Demokrasia (BIRD) nchini Bahrain, Ahmad al Wadai ametangaza kuwa, utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa umemhamishia jela Zainab Marhun mwanaharakati wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Mahakama Malawi yaamuru kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo kwa kuhusika na ufisadi
Aug 01, 2017 07:51Mahakama ya Malawi imetoa kibali cha kukamatwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Joyce Banda kwa tuhuma za kuhusika na ufisadi na utumiaji mbaya wa mamlaka yake wakati alipokuwa kiongozi wa nchi hiyo.
-
Makumi ya Wapalestina watiwa nguvuni katika Msikiti wa Al-Aqsa
Jul 28, 2017 07:35Askari wa utawala wa Kizayuni wa israel wamewavamia Wapalestina waliofanya mgomo wa kukaa kitako katika msikiti wa Al-Aqsa na kuwatia nguvuni zaidi ya watu mia moja.
-
Watoto 1,200 Wapalestina hutiwa nguvuni kila mwaka katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 26, 2017 03:08Mkuu wa masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa mateka na walioachiwa huru kutoka kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa watoto 1,200 Wapalestina hutiwa nguvuni kila mwaka na askari wa utawala huo haramu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Mtafiti wa Kiirani aliyekuwa anashikiliwa Marekani aachiliwa huru
Jul 12, 2017 08:12Mtafiti wa Kiirani wa masuala ya kensa aliyekamatwa hivi karibuni mara tu baada ya kuwasili Marekani ameachiliwa huru na kurudishwa humu nchini.
-
Misri yashutumiwa kwa kuwatia mbaroni makumi ya wanachuo wa kigeni
Jul 07, 2017 06:38Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch limeishutumu Misri kwa kuwatia mbaroni makumi ya wanachuo Waislamu kutoka China.
-
Makumi ya magaidi wa ISIS watiwa mbaroni katika mkoa wa Salahuddin, Iraq
Jul 06, 2017 07:41Kitengo cha upashaji habari za kijeshi cha Iraq kimetangaza kuwa, askari wa nchi hiyo wamewatia mbaroni makumi ya magaidi wa Daesh katika moja ya maeneo ya mkoa wa Salahuddin wa kaskazini mwa nchi hiyo.