-
Makumi watiwa mbaroni Misri kwa kupinga kukabidhiwa Saudia visiwa vya nchi yao
Jun 16, 2017 15:24Polisi ya Misri imewatia mbaroni makumi ya watu wanaopinga jaribio la serikali ya nchi hiyo ya kutaka kuipa Saudia visiwa vya nchi yao vya Tiran na Sanafir.
-
Askari 30 watiwa nguvuni nchini Cameroon kwa kukiuka kanuni za jeshi
Jun 07, 2017 15:36Waziri wa Uinzi wa Cameroon ametangaza kuwa askari 30 wa jeshi la nchi hiyo wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kufanya maandamano ya kupinga serikali.
-
Polisi ya Ufaransa yawatia mbaroni wanawake wa Kiislamu waliojistiri kwa hijabu
May 27, 2017 13:40Polisi ya Ufaransa imewatia nguvuni wanawake 10 wa Kiislamu kwa kosa la kuvaa vazi la staha la hijabu katika mji wa Cannes.
-
Baba wa mhusika wa shambulio la kigaidi la Manchester akamatwa nchini Libya
May 25, 2017 07:50Baada ya kukamatwa ndugu wa kiume wa Salman Abedi, mhusika wa shambulio la kigaidi la mjini Manchester, Uingereza, kitengo cha kupambana na ugaidi nchini Libya kimetangaza kuwa kimemkamata pia baba wa mhusika huyo wa shambulio hilo.
-
Umoja wa Mataifa waitaka serikali ya Ethiopia kuwaachilia huru wapinzani
May 05, 2017 04:04Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Ethiopia kuwaachilia huru watu ambao walitiwa nguvuni katika maandamano dhidi ya serikali hiyo kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu.
-
Wazayuni wawateka nyara Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi
Apr 29, 2017 15:30Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameyavamia maeneo tofauti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwateka nyara Wapalestina kadhaa.
-
Makumi ya makuhani wa Kizayuni wadhalilisha watu kijinsia, watiwa mbaroni
Mar 30, 2017 02:32Zaidi ya makuhani 20 wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizovamiwa na kuanza kukaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni mwaka 1948 wametiwa mbaroni kwa kosa la kuwadhalilisha watu kijinsia.
-
Washukiwa 6 wa al Shabab watiwa nguvuni Malindi, Kenya
Mar 11, 2017 16:49Polisi ya kupambana na ugaidi ya Kenya imewatia nguvuni watu 6 wanaoshukiwa kuwa magaidi wa kundi la al Shabab katika mji wa pwani wa Malindi.
-
Usafishaji idara ya usalama nchini Gambia, hatua ya kwanza ya Rais Adama Barrow
Feb 23, 2017 03:04Sambamba na kuanza rasmi kazi yake, Rais mpya wa Gambia ametekeleza hatua muhimu katika kuimarisha usalama wa nchi hiyo.
-
Mamia ya wageni watiwa mbaroni nchini Marekani
Feb 11, 2017 16:38Polisi wanaoshughulikia masuala ya wahamiaji nchini Marekani walianzisha opereseheni ya kushtukiza kuanzia siku ya Jumatatu hadi jana Ijumaa na kuwatia mbaroni mamia ya wahamiaji katika majimbo sita ya nchi hiyo.