-
Wanachama watatu wa Daesh watiwa mbaroni Morocco
Feb 07, 2017 07:43Askari usalama wa Morocco wamewatia mbaroni wanachama watatu wa kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Serikali ya Sudan yawaachilia huru wapinzani kadhaa wa kisiasa
Dec 27, 2016 04:42Wapinzani kadhaa wa kisiasa nchini Sudan wameachiliwa huru baada ya kushikiliwa na vyombo vya usalama kwa karibu miezi miwili kufuatia kile kilichoelezwa kuwa nia yao ya kutaka kufanya maandamano dhidi ya serikali.
-
Polisi Kongo yawatia mbaroni makumi ya raia
Dec 23, 2016 07:42Polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewatia mbaroni makundi ya raia kwa kosa la kushiriki maandamano dhidi ya serikali.
-
Wapinzani wazidi kutiwa mbaroni Burundi, wasiwasi waongezeka nchini
Dec 19, 2016 14:58Mkuu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu nchini Burundi (Iteka) amesema anatiwa wasiwasi na kuzidi kutiwa mbaroni wapinzani nchini humo.
-
Maelfu ya watu watiwa mbaroni Saudi Arabia kwa tuhuma za ugaidi
Dec 18, 2016 03:01Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza habari ya kutiwa nguvuni maelfu ya watu nchini humo kwa tuhuma za kuwa na mahusiano na makundi ya kigaidi.
-
Polisi watiwa mbaroni Burundi kwa kutaka kumuua msemaji wa Rais
Dec 04, 2016 07:29Jeshi la polisi nchini Burundi limewatia mbaroni maafisa watatu wa jeshi hilo kwa tuhuma za kushiriki katika jaribio la kutaka kumuua Willy Nyamitwe, msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza.
-
Mawakili Kongo DR wakosoa kutiwa nguvuni watoto Lubumbashi
Aug 15, 2016 04:21Jumuiya ya Mawakili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekosoa kitendo cha polisi wa nchi hiyo cha kuwatia nguvuni watoto kadhaa katika mji wa Lubumbashi nchini humo.
-
Wimbi jipya la utiaji nguvuni wapinzani lashuhudiwa nchini Bahrain
Aug 02, 2016 16:16Vikosi vya utawala wa Aal Khalifa limemtia nguvuni Mkuu wa Baraza la harakati ya al-Wifaq na viongozi wengine kadhaa wa kidini wa nchi hiyo.
-
Raia mmoja wa Algeria atiwa mbaroni akihusishwa na mashambulio ya Paris Ufaransa
Feb 28, 2016 16:30Maafisa usalama wa Algeria wametangaza habari ya kutiwa mbaroni raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa anaishi nchini Ubelgiji kwa tuhuma za kuhusika katika mashambulizi ya mjini Paris Ufaransa.
-
Burundi yasema haitawakamata baadhi ya wapinzani
Feb 21, 2016 02:48Idara ya Mkuu wa Mashtaka wa Burundi imetangaza kuwa imefuta waranti wa kutiwa nguvuni idadi kadhaa ya watu wanaofuatiliwa kisheria.